GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo.
Maria amesema hayo leo, Jumatatu Januari 13, 2025, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi kuhusu utekwaji wake.
“Walivyoniachia ilikuwa usiku—nakumbuka waliniteka kati ya saa 9 alasiri na walivyoniachia, waliniambia nisiongee na yeyote na nisiseme chochote. Ninachokumbuka, walitaka simu yangu na walikuwa wanazunguka nami huku wakisema wanamsubiri bosi wao. Nikawauliza, 'Kumbe mna bosi?' Walikasirika kwa kuhisi nimeanza kujua mipango yao,” amesema Maria.
Maria amedai kuwa watekaji hao walimuachia baada ya vyombo vya habari na taasisi mbalimbali za kimataifa kupaza sauti.
“Nawashukuru vyombo vya habari kwa kupaza sauti, na watu, wanasiasa mbalimbali kwa kupaza sauti, pia nawashukuru mabalozi na Serikali za Umoja wa Ulaya na wanaharakati mbalimbali. Maana sauti zao ziliwafanya watekaji wasite kuendelea na mipango yao,” amesema Maria.
Chanzo: mwananchi_official
Na ndiyo maana Asubuhi ya leo baada ya kuona kuna Kujichanganya Kwingi (hasa Kimaelezo) kutatokea kama Muona Mbali na Mbarikiwa wa kuwa na 6th Sense Kiasili nikamuomba asizungumze kwani ataenda Kuharibu na inaweza hata kumletea matatizo baadae na akaja Kujutia huku wale ambao leo Wanamsifu na kumpa Kichwa wakakaa nae mbali pale yatakapomkuta.