Nina maumbile madogo ya uume

Nina maumbile madogo ya uume

Wala usijal kawaida tu. Wapo wengi tu usijisikie vbaya. Bora wewe una ndogo ila inasimama na hata kumpa mimba mwanamke unaweza.
Wengine makubwa hayasimami. Pia makubwa hawana watoto.

Furahia ulivyo
 
Hakuna hata mmoja aliyekuambia uweke picha mkuu? Leo watu wamepoa sana aisee
 
sasa hicho kipisi cha uboo uwe unakichapa kwenye jiwe kila siku asubuhi, hii itasaidia kukikomaza ili kikiwa kinazama pangoni kiwe kama kisiki cha mpingo kina bomoa kuta tu kama tindo. nafikiri utafata ushauri
Aisee 🤣🤣🤣
 
Mbona mambo mengi mzeya?
Alafu unajua kuwa uwezo wa kusukuma kwa muda mrefu is directly proportional to length ya de libolo.

Its just simple arithmetics...mwenye de libolo shahawa zinasafiri umbali mrefu mpaka kutoka wakati sie vibamia shahawa zinasafiri umbali mdogo hence y pia tunawahi kumwaga
Nakukatalia hapo kwa big NO,pamoja na kuwa wewe ni mzee wa mizagamuo

Kuwa na kibamia sio ndo lazima uwe na nguvu kidogo

Hata mimi Nina kibamia cha wastani lakin nazipelekea moto haswa,kila siku napewa mavema tu,na kila ninae mkula lazima anipe maua yangu kama sio siku hyo,basi lazima siku nyingine lazima akili
 
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.

Kwanza hakuna maumbile madogo au makubwa , yote ni sawa ,kwa hiyo ondoa hiyo dhana na futa kabisa kwenye kichwa chako , na hii huenda inakuletea hofu

2. Katika asili tunachoangalia ni je unafanya Kazi sawasawa , Uume unasimama vizuri ( Energy interactions / Communications )

By Joseph Mwabange from Xianhe international or Heshoutang Natural health system

Not:
Kama Erection ipo yaani uume husimama lakini ukianza kufanya mapenzi ndani ya dk 1 umemaliza na huwezi rudia tendo , basi hiyo ni shida

Au uume hausimami vizuri yaani haukazi , na kusimamia show ni dk 5 kurudi chini , pia ni shida kidogo
Mwanaume kiwango cha kufanya mapenzi ni kuanzia dk 5 kwenda juu
Pia hii hulingana na umri pia

Ili kutunza afya yako unatakiwa kufanya mapenzi Kama ifuatavyo:

[emoji117]3 times per week: < 30 years old
[emoji117]2 times per week < 40 years old
[emoji117]1 time per week < 50 years old

[emoji117]2 times per month < 60 years old
[emoji117]1 time per month < 70 years old

NB: Afadhali kutofanya sex ufikapo miaka 70

Mfumo unao control sex ni mfumo wa Figo , kwa hiyo tunaangalia Nishati / Energy ya mfumo wa Figo ( Figo & Kibofu )

Kuna mambo mengi ya kuhakikisha :
1. Nishati ya Figo
2. Mzunguko wa damu

Nishati ya Figo Kama ipo chini , Tunarudishia , Kisha Figo itafanya Kazi vizuri , hata kwa wale Figo zimefeli , maana yake zimekosa nishati , Tunarudishia nishati ,inarudi kwenye uzima wake !

Mzunguko wa damu ni muhimu sana kuhakikisha upo sawa kwa tatizo lolote la binadamu , maana kwenye damu ndio kuna virutubisho vyote , kuketa uponyaji

Kwa hiyo lazima kuvunja mikwamo kwenye mishipa na kufungua mishipa ili damu iweze safiri vizuri na kufikia mifumo na kuleta uzima zaidi

Kwa kanuni hiyo ,mwili unarudia asili yake na kuponya kila ugonjwa ,

Sex utafurahia kwa kiwango cha juu !

Hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume , au kuongeza uume , unajiua mwenyewe , maana sio suluhisho na zinaenda kinyume na utendaji wa mfumo wa mwili wako !

Kwa matibabu ya magonjwa mbalimbali au matatizo ya kiafya ,wasiliana nasi

+255757577995
a1e8db8d-bb88-4a80-998f-785c78412ba9.jpg
 
Shida una ujuuaji wa kipuuzi, ngoma huwa Ina ongezeka Kutokana na mzunguko mzuri wa damu.
👉Hiyo Tiba Ime saidia wengi, nilio ona wame tibiwa.
👉Tena hapo Sija semea kitu myegea, Kama hujui tulia
Hakuna kitu kama hicho, hakuna logic yoyote hapo, mzunguko wa damu mzuri utaisaidia isimame vizuri wakati wa erection, lakini sio kwamba iongezeke size, danganya mjinga mkuu.
Nipe science behind unachokisema hapa kama sio hadithi za abnuwasi.
 
Nakukatalia hapo kwa big NO,pamoja na kuwa wewe ni mzee wa mizagamuo

Kuwa na kibamia sio ndo lazima uwe na nguvu kidogo

Hata mimi Nina kibamia cha wastani lakin nazipelekea moto haswa,kila siku napewa mavema tu,na kila ninae mkula lazima anipe maua yangu kama sio siku hyo,basi lazima siku nyingine lazima akili
🤣🤣🤣🤣 Naona watu mnafunguka tuu kuwa mnavibamia...safi sana sio kudnganya oh mie nina de libolo.

Sasa mzeya sii unishushie nondo jinsi unavyotumia kibamia kwa ufasaa maana mie mbona dakika mbili wadhungu haoooo
 
Ikisimama. Inakuwa na inch ngapi tuanzie hapo kwanza

Uke unahitaji uume ulio simama sawasawa, sio legelege , mambo ya kibamia hamna ,
Kwenye matibabu halisi ya Asili , hakuna kibamia , Ila kuna msuli , uume kusimama sawasawa , hapo utaweza mfikisha mwanamke , wanaposema akikohoa kanatoka , ni uume legelege
Kinachoangaliwa sio kibamia ni je uume unasimama vizuri , ile fire ipo? ndio cha muhimu hicho !
 
Fanya mazoezi sana, ikibidi asubuhi na jioni. Punguza kula wali, nyama na samaki. Pendelea mihogo ya kuchemshwa. Chukua nazi, piga nyeto, imwagie manii, kisha kaipasulie njia panda. Ataekanyaga akiwa wa kwanza kibamia kinaamia kwake, ndingo yake inakuja kwako. hata mimi nilikuwa hivyo hivyo

Lakini kama atakanyaga mwenye kibamia zaidi yako, hapo utakuwa umelala yooo.
JamiiForums1257714781.gif
 
Mkuu usihangaike na hiyo changamoto kwa sababu iko nje ya uwezo wako na unaumiza kichwa bila sababu. Unaumizaje kichwa kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke na kuumiza moyo wako? Usifiche tatizo,ukipata demu kaa naye chini mjadili hiyo changamoto yako. Ukokosa wewe hakikisha unakua na hela zako uzae watoto wako ulee wakiwa kwa mama zao ufurahie maisha yako.

Nasisitiza uache kuumiza kichwa ili kuwafurahisha wanawake huku ukiharibu maisha yako!
 
Fanya mazoezi sana, ikibidi asubuhi na jioni. Punguza kula wali, nyama na samaki. Pendelea mihogo ya kuchemshwa. Chukua nazi, piga nyeto, imwagie manii, kisha kaipasulie njia panda. Ataekanyaga akiwa wa kwanza kibamia kinaamia kwake, ndingo yake inakuja kwako. hata mimi nilikuwa hivyo hivyo

Lakini kama atakanyaga mwenye kibamia zaidi yako, hapo utakuwa umelala yooo.
[emoji2][emoji2]
 
Apa naona matapeli Wameanza,,,,,, Tumia tuu MKongo kazi kwisha
 
Back
Top Bottom