Na niwakati ambao wengi tulitapeliwa sanaAisee exposure muhimu sana hiyo mwaka 2018 kama sikosei bitcoin moja ilikiwa milion 20.
and they are right BTC ni utapeli, kinachotuweka ndan ni faidaKuna jambo nimejifunza wakati inatoka BTC nilikuwa nawaeleza watu ila wengi walikuwa wakupinga sana yani kama mada hipo JF aliyeweza kuleta kasome maoni ya watu ambao ni sokwe.
Sasa leo uwezi kuishika hata kidogo
SAnchi gan ingine na ATM za btc