Nina mda mrefu sana na bitcoin, leo hii inauzwa mil 300 kwa btc 1

Kuna jambo nimejifunza wakati inatoka BTC nilikuwa nawaeleza watu ila wengi walikuwa wakupinga sana yani kama mada hipo JF aliyeweza kuleta kasome maoni ya watu ambao ni sokwe.

Sasa leo uwezi kuishika hata kidogo
 
Hivi kwanini hakuna ATMs za Bitcoin hapa Tanzania kama nchi nyingine?
 
Kuna jambo nimejifunza wakati inatoka BTC nilikuwa nawaeleza watu ila wengi walikuwa wakupinga sana yani kama mada hipo JF aliyeweza kuleta kasome maoni ya watu ambao ni sokwe.

Sasa leo uwezi kuishika hata kidogo
and they are right BTC ni utapeli, kinachotuweka ndan ni faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…