Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

Nilijiunga jf 2012,,, ilinilazimu niiache ile id yangu na kuanza maisha mapya nikawa naingia kama guest baadae nikajiunga na id hii 2023.. Nawamiss sana baadhi nawaona napita kimya. Hongera kwa kutimiza miaka hiyo ndani ya jf.
 
kwanini bado hujawa platinum member?
 
Kumbe nami ni mkongwe aseee 2008 niliingia humu kabla nilikuwa JamboForums
 
Hongera umekuwa sasa...mshikuru Mungu Kwa alipokufikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…