Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini bado hujawa platinum member?Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo).
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya kuondoa hasira ni kutoa tusi kidoogo..hivyo soree.
JF HOYEE
Idea ya kukifanya kiswahili kiwe lugha ya taifa ndio imetufikisha hapa. Watamzania wengi hawana exposure kwa sababu ya lugha. Jf inadumaa kwa sababu hiyoHuu mtandao unakwama wapi..miaka yote hiyo bado watu mtaani wanaushangaa
Na konyagi ndogo mkuu..Ndafu itapendeza 🙂
Kumbe nami ni mkongwe aseee 2008 niliingia humu kabla nilikuwa JamboForumsMabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo)..
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya kuondoa hasira ni kutoa tusi kidoogo..hivyo soree.
JF HOYEE
Hongera umekuwa sasa...mshikuru Mungu Kwa alipokufikishaMabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.