Navigator Paul
Member
- Mar 12, 2025
- 46
- 64
- Thread starter
- #221
AaAagh naskia Bikra Kaka Kupata Sio MchezoMimi naona bora ubaki hivyohivyo mpaka uoe na ukitaka kuoa mtafute msichana bikra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaAagh naskia Bikra Kaka Kupata Sio MchezoMimi naona bora ubaki hivyohivyo mpaka uoe na ukitaka kuoa mtafute msichana bikra
Dogo anakaa kindezi ndezi kwamba ni BikraNjoo Pm nikufundishe.
Mafunzo natoa bure mdogo wangu.
Sawa Mkuuu UsijaliKaa na Babu yako umweleze hii habr utanishukuru
Unaogopa kutongoza au kufanya mapenzi?Shida Ni Kwamba Naogopaaa Sana Kufanya Hicho Kitu Nakuwa Na Woga Sana Me Nipo Vizuri Sio Kwamba Nipo Vibaya Hapana Nipo Fit Kabisa
Huyu mdau apelekwe kwa Mkemia mkuu wa serikali maana ashatupa wasi wasi mkubwa sana... sio kwelii hiiKuna jamaa yangu anayo 32 na anasema hajawahi
Ndiyo ni ngumu kama we mwenyewe sio bikra.....AaAagh naskia Bikra Kaka Kupata Sio Mchezo
Dahhhhhhhh Aiseew Kwahiyo Ndiyo Hivyo MkuuNdiyo ni ngumu kama we mwenyewe sio bikra.....
Aya subiri ndoa tuDahhhhhhhh Aiseew Kwahiyo Ndiyo Hivyo Mkuu
Duuuuu kuna watu wanaishi kwenye dunia yao kivyao vyao.Kuna jamaa yangu anayo 32 na anasema hajawahi
Hahahahaha Kwann MkuuAngalia tu sehem zako za siri zisije kuhisi umefariki (jokes) 😂
Wewe ni kichaa tena kichaa kabisa hivi hat haya hauon kusemea hil jambo hapoWakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Nashukuru Sana Kaka Mimi Kichaaa Wewe Upo Vizuri Umekamilika KabisaWewe ni kichaa tena kichaa kabisa hivi hat haya hauon kusemea hil jambo hapo
Hata hivyo hairuhusiwi kusex na mwanamke mwenzio. Endelea kutunza bikra yako dada angu.Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Eti ndo madai yakeDogo anakaa kindezi ndezi kwamba ni Bikra
Fursa maridhawaJicho la tatu limeonapo fursa....😁
🤪🤪We, mie nina wangu humu.
Ananipa huba zito kupita kiasi.
Imekula kwako![]()
❤️❤️❤️
Ila wewe kumbe una kamdomo hivyo 😜Utajijua mwenyewe.
Mada sio yako, unaivalia njuga.
Mtakuja kutolewa marinda jukwaani.
Umezingatia mtoa mada ni wakiume? Kwa dunia ya leo na huo ugeni labd aoe mlaika lasivyo atapigiwa sanaHongera kijana,
Kila Jambo na wakati wake, wengine walianza kwichi kwichi wakiwa lasita b lakini hamna faida yoyote waliyo pata,
Chamsingi jitunze, usijisikie vibaya, subiri Hadi siku ya ndoa ndipo uweze Kula tunda kimasikhara kihalali kabisaa.
Omba saana neema ya Ki- Mungu ikuongoze, Kwa maana Kwa ajili ya kawaida huwezi kabisaaa Ku kaa bila x, Hasa Zama hizi za mama samiyyaa