Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Hongera kijana,

Kila Jambo na wakati wake, wengine walianza kwichi kwichi wakiwa lasita b lakini hamna faida yoyote waliyo pata,

Chamsingi jitunze, usijisikie vibaya, subiri Hadi siku ya ndoa ndipo uweze Kula tunda kimasikhara kihalali kabisaa.

Omba saana neema ya Ki- Mungu ikuongoze, Kwa maana Kwa ajili ya kawaida huwezi kabisaaa Ku kaa bila x, Hasa Zama hizi za mama samiyyaa
Umezingatia mtoa mada ni wakiume? Kwa dunia ya leo na huo ugeni labd aoe mlaika lasivyo atapigiwa sana
 
Back
Top Bottom