Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi

Ni sawa tu akupime hata wewe pia unaweza kumpima kwa kumwambia akupe mimba. Imagine mnaoana nyote hamzai, what's the point?
 
Huyu jamaa hovyo sana alikuja na tattoo zake za matakoni hapa, wa kumwonea huruma tukajaribu kumuunganisha na wanaotafuta wenza...kumbe feki.

Jinga sana hili.
 
Usijali hakuna binadam anaekosa kazi kwakua umepewa mimba bila ndoa tutakutumia kama mfano mbaya tukitahadharisha wanaume wenzetu wasioe mwanamke kama wewe
 
Hizi story ana copy kutoka kwa Iddy makengo
 
Huyu jamaa hovyo sana alikuja na tattoo zake za matakoni hapa, wa kumwonea huruma tukajaribu kumuunganisha na wanaotafuta wenza...kumbe feki.

Jinga sana hili.
Hizi story ana copy kutoka kwa Iddy makengo
 
Bora umetusanua mkuu hata hivyo nilikuwa nasoma uzi wake uki nikijisemea huyu mtoa mada si mzima kichwani
 
Alafu ww jamaa una mambo ya kisenge hivi unatuona watoto humu?
Alafu unaweza kuta ww ni dume zima lina mke na watoto nyumbani.
 
Kwa kumkomoa, beba mimba yangu
 


Mshauri huyo mwanaume aende hospitali akapimwe mbegu zake, huenda tatizo liko kwake.

Umesema kampa mimba mwanamke mwingine sawa, lakini swali ni kwa nini ashindwe kukupa mimba wewe? Je kama hiyo mimba ya mwanamke mwingine si yake badala yake kapachikiwa tu?

Kwenye masuala ya ugumba ni muhimu kuangalia pande zote mbili mwanaume na mwanamke wote wapime ili kubaini tatizo liko wapi.

Kila la kheri.
 
Ichukue tu....


...Ni Hayo Tu!!
 
Wewe si ndiye ulikuja unalamika humu kuwa mama yako amekukimbizia mchumba wako na ulidai kwamba una umri wa miaka 30?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…