Nina miaka 27, natafuta mpenzi wa kike Dar

Nina miaka 27, natafuta mpenzi wa kike Dar

J23

Senior Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
151
Reaction score
193
Habari wana JF,

Mimi ni mvulana miaka 27 ni mfanyakazi katika taasisi fulani hapa Dar.
Mimi naingia kazini kuanzia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 12 jioni hivyo mda mwingi nakua kazini. Naishi temeke.

Natafuta mpenzi awe sifa zifuatazo;

1. Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25
2. Asiwe mweusi bali awe na rangi kidogo au maji ya kunde
3. Awe na elimu ya f4 au zaidi
4. Awe anajishughulisha na kazi yeyote inayokubalika na jamii
5. Awe anaishi maeneo ambayo hayasumbui kufika kwangu
6. Asiwe bikra
7. Awe na umbile la kawaida yaani sio mnene sana wala mwembamba sana wala mrefu sana.
8. Awe hajawahi olewa na kuzaa.
9. Awe anaishi maisha ya kawaida kama tulio wengi hapa Dar

Kama kuna mdada yupo tayari ani pm picha yake halisi ambayo nikiiona hata nikikutana nae live namtambua.

Wadada nipo serous na utakuwa wife mda mfupi tu.
 
KUNA JAMAA YANGU ALINIAMBIA YEYE AKIONA MTU YEYOTE TU YUPO JAMII FORUM BASI ANA ASSUME ATAKUWA NA AKILI NA UWEZO.. NA MIMI IKIFIKA MUDA WA KUTAMANI KUOA NITAKUJA KUTAFUTA HUKUHUKU JF.. WA MTAANI WAMEVURUGWA SANA HAWAJUI MAARIFA YA KUKAA KAWAIDA KA TUNAYOISHI WANA MAKONDA..
 
398159.jpg
Hii avatar yako imenifanya nikuzimikie ghafla...

Kwa sifa zote ulizozitaja ni kama unaniongelea mimi, njoo tuyajenge, ila picha sikutumii, ukitaka kuniona njoo nyumbani.

Karibu mume mtarajiwa...
 
Kuna jamaa anathread humu JF eti analazimisha ndoa kwa demu Nyie milenda ya Dar mnaaibisha sana..
 
Hivi huko ofisini, mtaani, kumbi za starehe hamna wanawake..
Nyie wanaume wa Dar mnatuaibisha madume wenzenu mnakera mmelegea kila kitu mpaka mdomo..
Tumia pesa si umeajiriwa utawapakuwa wengi tu..
Njoo Dar ndio utaamini kuwa hakuna mwanamke wa kuoa,ndugu huu mji hakuna mapenzi ya dhati.

Kila kona ni machagudoa ndio yamejaa,ukitaka kuamini njoo ukiomba namba yake kabla hujafika kwako unapokea sms "Naomba nisaidie laki my" yaani pesa mbele.

Ila ukitaka wa kuwachezea utapata hadi ukinai na kuwakimbia.
 
Nimeelewa kigezo hicho cha ... asiwe bikira...
Bikira wanasumbua sn aisee..!! Unaweza ukaingia nae room halafu ukala papuchi baada ya masaa 5. Halafu kinaweza kikataka kuonja na dushe zngine zipoje. Bora likiwa professional likaamua kutulia na lishaona dushe zote zile zile tu, halina presha.
 
View attachment 441832 Hii avatar yako imenifanya nikuzimikie ghafla...

Kwa sifa zote ulizozitaja ni kama unaniongelea mimi, njoo tuyajenge, ila picha sikutumii, ukitaka kuniona njoo nyumbani.

Karibu mume mtarajiwa...
Dada kama sifa hizo nakuongelea wewe ni pm picha na phone number mbona utakuwa wife wangu kabisa
 
Hivi huko ofisini, mtaani, kumbi za starehe hamna wanawake..
Nyie wanaume wa Dar mnatuaibisha madume wenzenu mnakera mmelegea kila kitu mpaka mdomo..
Tumia pesa si umeajiriwa utawapakuwa wengi tu..
Mkuu usipanic hata humu wapo wanapatikana.
Pesa sio shida mkuu muda maana sometime boss ananiita hadi weekend nikapige mzigo kazini.
 
Wanawake dar wajanja sana,
Kina style flan hivi wanatangaza kuwa wanauza kitu flan, mfano wangu alikuwa anauza gari(Toyota Allex) nka mchek watsup mana hiyo ndiyo alikuwa ana prefer, from that day anabadilisha dp zake kila siku anaweza za ngono ngono afu anauliza mteja vp umeamuaje?
Nkajibu bado nafikiria.
Mara ntumie 50,000 niende club afu tutaelewan!
Dah kumbe muuzaji wa mwili na si gari. Tuwe makini jamani
 
Temeke ni kubwa....try to be specific. Picha Yangu hii hapa [emoji126] PM cjui IPO mkoa upi Tanzania
 
aisee, usikate tamaa mkuu utapata tu, you still have time cause i can see your dtill young. Nimekosa bahati yangu, vigezo vyote hapo ninavyo isipokuwa kimoja tu.........
 
Heheeeee eti asiwe bikira
Bikira ya mnduku labda
Aisee braza.....punguza makali. Avatar ya kike but kwa mtoto wa kike na maneno hayo, mmmh!!! Behind the screen unaweza ukawa ni broo tena wa heshima tuu. Aiseeee!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom