J23
Senior Member
- Nov 11, 2016
- 151
- 193
Habari wana JF,
Mimi ni mvulana miaka 27 ni mfanyakazi katika taasisi fulani hapa Dar.
Mimi naingia kazini kuanzia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 12 jioni hivyo mda mwingi nakua kazini. Naishi temeke.
Natafuta mpenzi awe sifa zifuatazo;
1. Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25
2. Asiwe mweusi bali awe na rangi kidogo au maji ya kunde
3. Awe na elimu ya f4 au zaidi
4. Awe anajishughulisha na kazi yeyote inayokubalika na jamii
5. Awe anaishi maeneo ambayo hayasumbui kufika kwangu
6. Asiwe bikra
7. Awe na umbile la kawaida yaani sio mnene sana wala mwembamba sana wala mrefu sana.
8. Awe hajawahi olewa na kuzaa.
9. Awe anaishi maisha ya kawaida kama tulio wengi hapa Dar
Kama kuna mdada yupo tayari ani pm picha yake halisi ambayo nikiiona hata nikikutana nae live namtambua.
Wadada nipo serous na utakuwa wife mda mfupi tu.