Nina miaka 29, natafuta Mume

Naomba uniunganishe na hizo forum za kutafuta wachumba pls
 
Naomba uniunganishe na hizo forum za kutafuta wachumba pls
 
Natafuta mume serious nina miaka 29 ni maji ya kunde Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Njoo pm tuyajenge mama
Mim huwa napenda boga na uwa lake seriously
 
Zuia hasira bibie
 
Busara za mtu hujulikana pale anapoweza kuzuia ulimi wake haswa kipindi anapokuwa kwenye msongo mkali.

"Kichaa akikuchukulia nguo ukiwa unaoga usimkimbize ukiwa uchi, maana watu watashindwa kutofautisha kati ya mzima na kichaa".
 
Natafuta mume serious nina miaka 29 ni maji ya kunde Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Dini,kabila na mkoa unakoishi kwa sasa?
 
Ni sawa lakini 2-0 ni parefu mkuu.

Kulevel hiyo aggregate ni miaka kadhaa mbele na pia inaweza isiwezekane vilevile.

Kama baba tofauti ndo kabisaaa ni balaa na nusu
 
Naomba nikutie Moyo, Mungu bado ana kusudi na wewe, nicheki DM kama hutojal nikwambie Jambo litakalokusaidia SANA na utanikumbuka
Hatafuti jambo la kumsaidia anatafuta mume,kama ipo tayari nenda DM mkayajenge
 
yaan kweli tayari una watoto wawili alafu ndo unatafuta ndoa saa hizi? Ni Kama vile unavaa boksa juu ya suruali
 
Mtu unaponda lkn hapo kando nduguye yu kati hali kama ya mdada wetu.
 
Kaolewe na aliyekupanua usiwatafutie watoto wa watu mizigo.
 
Kwa hiyo within two years kuzalishwa watoto wawili au walikuwepo toka kipindi anaomba msaada wa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…