Nina miaka 29, natafuta Mume

Nina miaka 29, natafuta Mume


Shuleni kwako hakuna walimu wa kiume?
 
Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Karibu
 
Ni leo nimeambiwa na mmama wa makamo sana eti wanawake wa kuolewa ni walimu baada ya kunikuta na barmaid , sasa ndugu yangu To yeye sitegemei kada yako iniangushe hivyo naingia kichwa kichwa .
 
Kwenye kikao chetu WANAUME tulishakubaliana kwamba....
Mwaka huu hatuoi wanawake wenye watoto!
 
Unaweza ukapata ila lazima atakuwa Na familia na yeye lakini Kwa ambaye hajaanzisha familia ni ngumu kidogo ila Kila la kheri KWENYE hitaji la moyo wako
Hapo akipatikana basi kulogwa nje nje
 
It's really difficult to come back from 2-0 to make the aggregate 2-2 walau, tena kama unacheza Bernabeu, waulize mancity watakujibu.
 
Mtu akisoma juu juu bila tafakuri anaweza kuona hujaandika kitu but kwa dunia ya sasa na status yake ilibidi hilo aliandike kabisa kwenye post yake hapo juu
Wewe mjinga. Sikuiti mpumbavu kwa sababu mjinga anaweza kujifunza akaelewa na kubadilika.
Wewe na huyo uliye-mquote ni wafedhuli tu. Kama mwenye nia naye kuna haja gani ya kumhoji hayo openly/publicly hapa?
Mwombe PM mhoji hayo. Pengine utajua mengi yaliyomfanya awe hivyo. Dhihaka za nini wakuu? Huo ndiyo uGreat Thinking?
Jukwaa la JF siku hizi linaharibiwa sana. 😇😇😇
 
Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
mbona sifa umeweka chache?
 
Back
Top Bottom