Castro Nyiwili
New Member
- Oct 4, 2022
- 1
- 0
Nipo ukiwa interested nione
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmm Baba watoto yupo hai? Na kama yupo hai je ana hudumia watoto wake? isije kua unatoa huduma kwa watoto wake lakini wewe ukamsingizia Baba watoto Kawa kataa watoto na mawasiliano naye, na watoto unalea mwenyewe, Maana wanawake mlizaa bila mipango mlizaa kwa sababu mwanaume alikuwa na kazi nzuri mnakuwaga waongo waongo.Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Mkuu sikuizi watoto wanakuwa na wababa wawili, Baba mzazi anakuwa ni mzee mume wa mtu, na Baba mwingine huyu anakuwa ni kijana ambaye kabambikiwa mimba bila yeye kujua.Nikiweka nia
Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
Kuna rafiki yangu kaoa Mwalimu single mother na jamaa anaishi Nyumbani kwa Mwalimu, Sisi tuna mtani kaolewa na Mwanamke.walimu na usingle mother nikama Pete na kidole
Mkuu umejuaje kama kazaa nje ya ndoa?Umezalishwa watoto wawili bila ndoa afu saa hii unataka ndoa ,nani aliyekuroga
Mimi nimejitokeza nipo teyali kuwa na wewe nina miaka 90 tu 😁Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Wanawake sio wakuwaonea huruma hapo alipofikia huyo dada kuna uwezekano huko nyuma kashawaacha wanaume kibao na maumivuUkistaarabika utajiona ulivyo boya!!
Pole bidada na mama wawili.Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Kwanini uachike?Inamaana kuwa na mtoto au watoto sikuhiz ni Kosa??vipi kuhusu wajane walioachika pia hawana haki ya kuolewa??
Sidhani kama Ina mantiki ni upofu wenu wa kutokuwa na utu Kwa wanawake kilakitu mnakitafutia kasoro vipi kuhusu wanaume wenye watoto na mkaoa wengine huwa mnakuwa na bond na wazaziwenzenu au tuwaulize kuhus makaburi ya bby mama wenu??Kwanini uachike?
Bond ya mtoto kwa wazazi ni moja kati ya bond matata sana kutenganishwa
Msipotuonesha makaburi ya wazazi wenza, hata mkija na greda hatuwaelewi
Alafu ukute ndo wanaongoza kukataa mimba wanajifanya kuuliza baba wa mtoto wakati ni wao😂Mleta uzi anatafuta mume cha ajabu watu wanaleta porojo. Lol.
Na hii ni dalili ya kwamba hamna waoaji humu.
Baba zao hao watoto bado wanaishi?ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili