Nina miaka 29, natafuta Mume

Nina miaka 29, natafuta Mume

Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Mmm Baba watoto yupo hai? Na kama yupo hai je ana hudumia watoto wake? isije kua unatoa huduma kwa watoto wake lakini wewe ukamsingizia Baba watoto Kawa kataa watoto na mawasiliano naye, na watoto unalea mwenyewe, Maana wanawake mlizaa bila mipango mlizaa kwa sababu mwanaume alikuwa na kazi nzuri mnakuwaga waongo waongo.
 
Nikiweka nia

Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
Mkuu sikuizi watoto wanakuwa na wababa wawili, Baba mzazi anakuwa ni mzee mume wa mtu, na Baba mwingine huyu anakuwa ni kijana ambaye kabambikiwa mimba bila yeye kujua.
 
walimu na usingle mother nikama Pete na kidole
Kuna rafiki yangu kaoa Mwalimu single mother na jamaa anaishi Nyumbani kwa Mwalimu, Sisi tuna mtani kaolewa na Mwanamke.
 
Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Mimi nimejitokeza nipo teyali kuwa na wewe nina miaka 90 tu 😁
 
Kuleta humu uzi kama huu ni kujitafutia stress, mtu anauliza makaburi ya baba wa watoto wako? Aisee embu tafuta mitaani bana huko unakoishi ni sahihi zaidi
 
Natafuta mume serious ninamiaka 29 ni maji ya kunde Mimi nimwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Pole bidada na mama wawili.
Je nakuuliza kabla kufungua mlango wa jukwa hili na kunadi tangazo lako. Umeongea na mungu wako mara ngapi?
Na je uo mume unaemtaka wa kuanzia miaka30 akiwa mlevi au mwizi utampokea kwa dhati? Na hao watoto wako wawili khatima ya baba zao zimekhitimisha je?
Sina la ziada ntakuombea kwa Allah akupe khatima njema.

NB: ANGALIZO KWA WALE WENYE HITAJI KAMA HILI. MUWE MNABANDIKA KAPICHA HATA YA MIGUU ILI MNALIPA UZITO HITAJI LENYU.
Shukran wabillah Taufiq.
 
Inamaana kuwa na mtoto au watoto sikuhiz ni Kosa??vipi kuhusu wajane walioachika pia hawana haki ya kuolewa??
 
Mleta uzi anatafuta mume cha ajabu watu wanaleta porojo. Lol.

Na hii ni dalili ya kwamba hamna waoaji humu.
 
Inamaana kuwa na mtoto au watoto sikuhiz ni Kosa??vipi kuhusu wajane walioachika pia hawana haki ya kuolewa??
Kwanini uachike?

Bond ya mtoto kwa wazazi ni moja kati ya bond matata sana kutenganishwa
Msipotuonesha makaburi ya wazazi wenza, hata mkija na greda hatuwaelewi
 
Kwanini uachike?

Bond ya mtoto kwa wazazi ni moja kati ya bond matata sana kutenganishwa
Msipotuonesha makaburi ya wazazi wenza, hata mkija na greda hatuwaelewi
Sidhani kama Ina mantiki ni upofu wenu wa kutokuwa na utu Kwa wanawake kilakitu mnakitafutia kasoro vipi kuhusu wanaume wenye watoto na mkaoa wengine huwa mnakuwa na bond na wazaziwenzenu au tuwaulize kuhus makaburi ya bby mama wenu??
 
Mleta uzi anatafuta mume cha ajabu watu wanaleta porojo. Lol.

Na hii ni dalili ya kwamba hamna waoaji humu.
Alafu ukute ndo wanaongoza kukataa mimba wanajifanya kuuliza baba wa mtoto wakati ni wao😂
 
ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili
Baba zao hao watoto bado wanaishi?
Na km wamefariki certificate za vifo vyao unazo?
Na km wamefariki Makaburi yao yapo?

Anza na hayo majibu alafu tuendelee
 
Back
Top Bottom