Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Natafuta kazi yoyote
Habari za mda huu, Wakuu Mimi ni muhanga wa ajira nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu 2017 ngazi ya shahada ya elimu najikita kwenu naombeni mwenye kazi yoyote anisaidie maisha magumu Sana na nitafanya kazi popote mda wote sichagui kazi, mimi ni binti miaka 27. Asanteni, mwenye kazi yoyote...
Shuleni kwako hakuna walimu wa kiume?