Nina miaka 29, natafuta Mume

Nina miaka 29, natafuta Mume

NJOO PM NIKUONYESHE FORUM SERIOUS ZA KUPATA MUME AU MKE.
HUMU JAMIIFORUMS IMEJAA WATOTO NA WAJINGA SIKU HIZI NDIO MAANA WANAKUKEJELI NA KUKUTUKANA BILA KUJUA ULIYOPITIA.

ANA WATOTO WAWILI, NDIO, KAMA UMEMPENDA NENDA PM UULIZE MASWALI WALIPO/ALIPO BABA WA WATOTO HAO.
Naomba uniunganishe na hizo forum za kutafuta wachumba pls
 
Natafuta mume serious nina miaka 29 ni maji ya kunde Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Njoo pm tuyajenge mama
Mim huwa napenda boga na uwa lake seriously
 
Kwenda uko mbona ww mama ako alipanuliwa na baba Ako na usemi mpk ukazaliwa ww pumbavu mmoja usiejielewa na bado anaendelea kupanuliwa na usemi kitu kwenda fala wa Bei rahis ww na mpk saiv smekurithisha unapanuliwa ww marinda ndo watu atuongei au unazani atujui tumenyamaza tu kijinga kimoja ww
Zuia hasira bibie
 
Busara za mtu hujulikana pale anapoweza kuzuia ulimi wake haswa kipindi anapokuwa kwenye msongo mkali.

"Kichaa akikuchukulia nguo ukiwa unaoga usimkimbize ukiwa uchi, maana watu watashindwa kutofautisha kati ya mzima na kichaa".
 
Natafuta mume serious nina miaka 29 ni maji ya kunde Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Dini,kabila na mkoa unakoishi kwa sasa?
 
Ni sawa lakini 2-0 ni parefu mkuu.

Kulevel hiyo aggregate ni miaka kadhaa mbele na pia inaweza isiwezekane vilevile.

Kama baba tofauti ndo kabisaaa ni balaa na nusu
 
Naomba nikutie Moyo, Mungu bado ana kusudi na wewe, nicheki DM kama hutojal nikwambie Jambo litakalokusaidia SANA na utanikumbuka
Hatafuti jambo la kumsaidia anatafuta mume,kama ipo tayari nenda DM mkayajenge
 
yaan kweli tayari una watoto wawili alafu ndo unatafuta ndoa saa hizi? Ni Kama vile unavaa boksa juu ya suruali
 
Mtu unaponda lkn hapo kando nduguye yu kati hali kama ya mdada wetu.
 
Kwenda uko mbona ww mama ako alipanuliwa na baba Ako na usemi mpk ukazaliwa ww pumbavu mmoja usiejielewa na bado anaendelea kupanuliwa na usemi kitu kwenda fala wa Bei rahis ww na mpk saiv smekurithisha unapanuliwa ww marinda ndo watu atuongei au unazani atujui tumenyamaza tu kijinga kimoja ww
Kaolewe na aliyekupanua usiwatafutie watoto wa watu mizigo.
 
Shuleni kwako hakuna walimu wa kiume?
Kwa hiyo within two years kuzalishwa watoto wawili au walikuwepo toka kipindi anaomba msaada wa kazi?
 
Back
Top Bottom