Nina miaka 33 sijaoa sina mke familia imenikalia kooni

Nina miaka 33 sijaoa sina mke familia imenikalia kooni

Miaka 33 huna mke? Uko timamu kweli?
Me miaka 24 nilikuwa na wife nikiwa chuo mwaka wa 3
 
Kama amechagua kutokuoa unaweza kuongeza mke wewe unaemshinikiza.
Ifike mahali tukubaliane kuoa sio lazima wala kuzaa sio lazima sababu tumejikuta duniani kama ajali tu, hivyo maamuzi ya wengine yaheshimiwe
 
Mie umri huo wako nilikuwa na mtoto wa miaka 22.
Tafuta mtoto wa kukufunga pempasi ukiumwa
 
Mie umri huo wako nilikuwa na mtoto wa miaka 22.
Tafuta mtoto wa kukufunga pempasi ukiumwa
Acha kuwapa watu wasiwasi ,kujiona umeweza ..Hiyo ni nafsi unayoleta ,usilete nafsi iteseke kwa tamaa zako.
 
Back
Top Bottom