Nina miaka 33 sijaoa sina mke familia imenikalia kooni

Nina miaka 33 sijaoa sina mke familia imenikalia kooni

Wamehisi vibaya tu si unajua mwanaume ukiwa haueleweki eleweki wanaanza kuhisi labda umeanza vile vitabia vya upande mwingine kumbe ni maamuzi tu ya mtu kuoa au kuolewa
Halafu hii imeletwa na nani
 
Sijui kwa nini nina miaka 33 sina mke sina mtoto familia imenikalia kooni .

Nina kazi nina Elimu.
Duh pole ndugu yetu Harmonize, swali la uzushi tu....kwani Paula si ni mwanao yule au humtaki tena?
 
Umeplan kuoa ukiwa na miaka mingapi? Uzae watoto. Wangap? Tuanzie hapo kwanza
 
Lkn kwl Mkuu kwani haifanyi kazi hiyo kitu maana angalau ungelikuwa na katoto ... Wanogopa mambo ni mengi siku hiz
 
Senior Bachelor unashindwa kujibu hoja na pressure ndogo kama hiyo.
Mimi kama principal Bachelor nasikitika sana kushindwa kujibu hoja hiyo.

Wewe promotion yako itasogezwa mbele au itafutwa kabisa
 
Back
Top Bottom