Rotim anampenda vanessa mdee mpaka basiiiiiHawa watu wa Ghana na Nigeria wengi wao ni matapeli sana wa mitandaoni,
Kila la kheri Dada, kwangu umri sio tatizo, japo kuwa makini sana na hawa watu wa west Africa. Fraudster!
Kwani Vanessa na Rotimi ndo wamepishana 7yrs? KhaaaaahAge difference yenu ni kama Vanessa na Rotimi.
Nasema uongo ndugu zangu?
WoyooooooooooooooooooooooooooooooooohRotim anampenda vanessa mdee mpaka basiiiii
Ohoooo,inamaana yule jamaa ni dogo kwa Vanessa.Age difference yenu ni kama Vanessa na Rotimi.
Nasema uongo ndugu zangu?
Ohoooo!!!!KUOA MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 45 NI SAWA NA KUNUNUA IPHONE 4 , KUNA MATOLEA MAPYA ENDESHI HUWEZI KUYAPATA TENA.
Kwani Vanessa na Rotimi ndo wamepishana 7yrs? Khaaaaah
Nakumbuka, joseverest alikuwa wa kwanz kucomentHuyo mtu mzima mwenzako, usione soo Tengeneza naye maisha.
Alafu habari kama hii alishawahi kuileta (skyEclat) memba wa humu miaka 2017/16.
Ohoooo,inamaana yule jamaa ni dogo kwa Vanessa.
Tunaongea na ni mrefu huwa kwa mapenzi anacheza basketballUliujuaje exact height yake?
Wakati 33 yenyewe anatimiza 7th June mwaka huu. PoleeeeeehVanessa ni intra-menopause, 45 kasoro!![emoji2957]
So ni chai kama chai zingne au???Huyo mtu mzima mwenzako, usione soo Tengeneza naye maisha.
Alafu habari kama hii alishawahi kuileta (skyEclat) memba wa humu miaka 2017/16.
hyo tofauti sio kubwa sanaNimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Wakati 33 yenyewe anatimiza 7th June mwaka huu. Poleeeeeeh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na wanaume wengi wakifika kwenye 40 huwa wachovu kitandani balaa yaani akienda goli moja hiyo ni mpaka kesho, hapa nawaza sijui nimpe taraka tu