Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

Na wanaume wengi wakifika kwenye 40 huwa wachovu kitandani balaa yaani akienda goli moja hiyo ni mpaka kesho, hapa nawaza sijui nimpe taraka tu
 
Huyo mtu mzima mwenzako, usione soo Tengeneza naye maisha.
Alafu habari kama hii alishawahi kuileta (skyEclat) memba wa humu miaka 2017/16.
So ni chai kama chai zingne au???
 
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.

Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.

Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.

Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.

Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.

Sina mume wala sijawahi kuolewa.
hyo tofauti sio kubwa sana
 
Na wanaume wengi wakifika kwenye 40 huwa wachovu kitandani balaa yaani akienda goli moja hiyo ni mpaka kesho, hapa nawaza sijui nimpe taraka tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Aisee
 
Back
Top Bottom