Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,001
- 1,591
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KUOA MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 45 NI SAWA NA KUNUNUA IPHONE 4 , KUNA MATOLEA MAPYA ENDESHI HUWEZI KUYAPATA TENA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KUOA MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 45 NI SAWA NA KUNUNUA IPHONE 4 , KUNA MATOLEA MAPYA ENDESHI HUWEZI KUYAPATA TENA.
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Ofcz hii ni chai ya ki covid19..ina michanganyiko yote yan..limao tangawizi kila kituhahahahaaaaaaa hii stori tu bila picha.
halafu muende picnic bila mechi inaongeza limao na tangawizi kujiepusha na covid-19
Kwani wanawake wote duniani wameomba huu ushauri?Wanawake wananichosha hapo tu,yani mpaka na Age ya 45 lakini hana Maamuzi sahihi ya nini n sawa ktika maisha yake ya mahusiano.
bana wanawake kweli tena udngo wenu Mungu aliotumia n tifutifu aseee.
Mwamba umeua sana aiseeeKUOA MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 45 NI SAWA NA KUNUNUA IPHONE 4 , KUNA MATOLEA MAPYA ENDESHI HUWEZI KUYAPATA TENA.
Sasa shida iko wapi? Mbona Diamond na Zari waliishi vizuri tu hadi mahasidi walipoingilia maisha yao(kitu ambacho chaweza kutokea hata kama mme akikuzidi umri)...Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Si anatuvimbiaKulikua na haja gani kuzungumzia mambo ya pesa?
Hongera, umr si tatizo. Kama mnaelewana nae vzr bc olewa dada. Kama kweli upo vzr ovulation hazijakata bc ni vzr pia kuacha ukumbusho wako hapa duniani.
Kumbuka Mungu alituachia jukumu la kuzaliana na kuijaza dunia. Sasa wew mpk leo hujachangia hata mmoja y???
Sasa hii inaonyesha Upendo wake umejikita kwenye issue gani hasa!Si anatuvimbia
Nguvu ya pesa..!Tanzania 🇹🇿 mpaka Ghana 🇬🇭 mbona hapa nchini kuna vijana wengi hakuna hata mmoja uliempenda?
Wanaume mnapendaga papochi au nini kwa mwanamke? Kama ni papachi nadhani ladha hiabadiliki na umri
[emoji16][emoji16][emoji16] jf BwanaUnatengenezwa tu,ukishatengenezeka vizuri wewe ndiyo utakuwa investment.Nakutakia kila la kheri.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]so atapigwa tukio very soon !?Ha ha ha ha, Madame kakutana na kina yahoo boy kabila Mghana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vanessa ni intra-menopause, 45 kasoro!![emoji2957]
Mwambie awe anafanya mazoezi asikubali kujiweka ktk mazingira ya kizee zeeNa wanaume wengi wakifika kwenye 40 huwa wachovu kitandani balaa yaani akienda goli moja hiyo ni mpaka kesho, hapa nawaza sijui nimpe taraka tu