Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

Angalia asikutengue nyonga sema yanatokea Ghana hakuna kabila la Ghana
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.

Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.

Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.

Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.

Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.

Sina mume wala sijawahi kuolewa.
 
Wanawake wananichosha hapo tu,yani mpaka na Age ya 45 lakini hana Maamuzi sahihi ya nini n sawa ktika maisha yake ya mahusiano.

bana wanawake kweli tena udngo wenu Mungu aliotumia n tifutifu aseee.
 
Kwani wanawake wote duniani wameomba huu ushauri?
 
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.

Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.

Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.

Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.

Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.

Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Sasa shida iko wapi? Mbona Diamond na Zari waliishi vizuri tu hadi mahasidi walipoingilia maisha yao(kitu ambacho chaweza kutokea hata kama mme akikuzidi umri)...

Pia Soma maisha ya ndoa ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, na nguli wa Soka, Zlatan Ibrahimovic...all are married to older women but are happy in their lives, hakuna shida!

Maturity yako ndo inamvuta huyo mme kwako
 
Stop ruining your happiness with the what ifs.

Listen to your heart. Ikikupa go ahead then go for it.
 
Kulikua na haja gani kuzungumzia mambo ya pesa?
 
Hongera, umr si tatizo. Kama mnaelewana nae vzr bc olewa dada. Kama kweli upo vzr ovulation hazijakata bc ni vzr pia kuacha ukumbusho wako hapa duniani.
Kumbuka Mungu alituachia jukumu la kuzaliana na kuijaza dunia. Sasa wew mpk leo hujachangia hata mmoja y???

Mkuki mkuki mkuki [emoji23][emoji23]
 
Si anatuvimbia
Sasa hii inaonyesha Upendo wake umejikita kwenye issue gani hasa!

Wakuu naomba kuuliza, kuna kabila huko west Africa lakuitwa "Ghana"? Samahani lakini.
 
Wanaume mnapendaga papochi au nini kwa mwanamke? Kama ni papachi nadhani ladha hiabadiliki na umri

Kadiri mwanamke anavyokuwa mtulivu ndio papuchi inavyozidi kuwa tamu, hauwezi amini hii kitu rafiki.
 
Na wanaume wengi wakifika kwenye 40 huwa wachovu kitandani balaa yaani akienda goli moja hiyo ni mpaka kesho, hapa nawaza sijui nimpe taraka tu
Mwambie awe anafanya mazoezi asikubali kujiweka ktk mazingira ya kizee zee
 
Back
Top Bottom