Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

Wanawake hawajui walitakalo maishani.

Japo umeamua kudanganya kuwa hujampa mchezo endelea kupiga nyungu na malimao, CORONA ipo!
 
Ladha haibadiliki na umri?..Hell nah,,,mfano 45 ni kuelekea Menopouse huko,ambako hata utelezi kwenye K unaanza kuisha..so papuchi haiwezi kuwa tamu kama ya mid-twenties
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji419]
 
Sasa mimi niko na miaka 29 nataka kuwa na wewe kama huna mme
 
Wanawake hawajui walitakalo maishani.

Japo umeamua kudanganya kuwa hujampa mchezo endelea kupiga nyungu na malimao, CORONA ipo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hivi hizi day dreams huwa mnazitoa wapi? Kwa bahati nilisoma huko, hawa jamaa huwa hawana wivu ndiyo maana kukubebesha unga ni jambo la kawaida. Unafahamu makola market women wewe
 
Eti kaamini kabisa [emoji16][emoji16] yaani unapoteza Muda wako kuwaamini ma celebrity
Wivu unawasumbuaa, ajabu waanaume sasa lol, kuna shida sehemu sio buree, khaaaaah
 
45 Years, mbona Wewe bado binti kigoli, Nakumbuka Mwaka Jana niliwahi ona habari ya kijana mmoja kuoa mwanamke mwenye miaka 60.
 
Mbona umri wenu haujapishana sana na pengine mtu akiwatazama anaweza kuhisi mna umri uliolingana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…