hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Eti kaamini kabisa [emoji16][emoji16] yaani unapoteza Muda wako kuwaamini ma celebrityUsiwaamini sana sleekwini, labda kama u-mmoja wao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti kaamini kabisa [emoji16][emoji16] yaani unapoteza Muda wako kuwaamini ma celebrityUsiwaamini sana sleekwini, labda kama u-mmoja wao!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji419]Ladha haibadiliki na umri?..Hell nah,,,mfano 45 ni kuelekea Menopouse huko,ambako hata utelezi kwenye K unaanza kuisha..so papuchi haiwezi kuwa tamu kama ya mid-twenties
Sasa mimi niko na miaka 29 nataka kuwa na wewe kama huna mmeNimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wanawake hawajui walitakalo maishani.
Japo umeamua kudanganya kuwa hujampa mchezo endelea kupiga nyungu na malimao, CORONA ipo!
Hivi hizi day dreams huwa mnazitoa wapi? Kwa bahati nilisoma huko, hawa jamaa huwa hawana wivu ndiyo maana kukubebesha unga ni jambo la kawaida. Unafahamu makola market women weweNimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Hawajui WEST AFRICA huyuUnatengenezwa tu,ukishatengenezeka vizuri wewe ndiyo utakuwa investment.Nakutakia kila la kheri.
Hata km ndo Vanessa awepo 40s? KhaaaahUsiwaamini sana sleekwini, labda kama u-mmoja wao!
Umempa makavu hadi nimeogopa bae. [emoji3][emoji3][emoji3]Ndo kishapendwa au unawishi ungekua Vannesa halafu Rotimi akupende?
Lol.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa na wee.Jamani si yuko early thirty?menopause hyo imekaaje
Wivu unawasumbuaa, ajabu waanaume sasa lol, kuna shida sehemu sio buree, khaaaaahEti kaamini kabisa [emoji16][emoji16] yaani unapoteza Muda wako kuwaamini ma celebrity
45 Years, mbona Wewe bado binti kigoli, Nakumbuka Mwaka Jana niliwahi ona habari ya kijana mmoja kuoa mwanamke mwenye miaka 60.Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Hapana mzee.Age difference yenu ni kama Vanessa na Rotimi.
Nasema uongo ndugu zangu?
Ndo jamaa anunue gazeti jioniNguvu ya pesa..!
Exactly hata mimi, muandiko tu nilihitimisha ni yeye, kumbe na wenzangu mmeona hivyo?
Yeah,mie nimeona mwandiko wakeExactly hata mimi, muandiko tu nilihitimisha ni yeye, kumbe na wenzangu mmeona hivyo?
Europa huwa sigusi kabisa hukoWatu tuna fekero nyingi, nipe odds 5 nataka nitembelee nyota yako leo, unajua leo europa bibie.
I loooove the question....Kwani wanawake wote duniani wameomba huu ushauri?