Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

Wivu unawasumbuaa, ajabu waanaume sasa lol, kuna shida sehemu sio buree, khaaaaah
Wee nawe ... Unavyoniona Mimi Ni type ya mtu ambaye na weza kui interact huo upuuzi unaojaribu kuungoea yaani Mimi niwe na wivu namtu ambaye simjui hanijui ..kubwa zaidi hakuna kitu anacho niongeze Wala kunipunguzia ktk maisha yangu how comes niwe na jealous dhidi yake' ..." mimi nilikuwa najaribu kuongea fact kwamba Mara nyingi public figures wengi huwa hawaongei ukweli so sio watu ambao wanapaswa kuaminika [emoji817] [emoji419] la kuambiwa changanya na zako
 
Kwenda huko wivu unawasumbua tyuuh, na ndo kashapendwa sasa.
 
Kwani Tatizo nini, unahisi haitaweza ingia ?
Ila inaonesha umelenga hela zake
 
Kama unampenda mkubalie tu hamna shida,usiangalie wanadamu watasema nini juu yako maisha ni yako wewe mwenyewe.
 
Naona unajaribu kujifariji mkuu!!
Mi sijifariji maana umri unaenda na papuchi inatumika yani ipo kwenye matumizi so kama ukifika huo umri imeisha hyo ladha haitanishtua. Tunasema Direct proportianal. Nilichokua nataka kujua huyo ambaye hajatumika mpk umri huo inamaana ladha haipo?
 
Mi sijifariji maana umri unaenda na papuchi inatumika yani ipo kwenye matumizi so kama ukifika huo umri imeisha hyo ladha haitanishtua. Tunasema Direct proportianal. Nilichokua nataka kujua huyo ambaye hajatumika mpk umri huo inamaana ladha haipo?

Huyo sio kama hajatumika, alichosema ni hajaolewa na hana mtoto.... si ajabu imetumika mara nyingi kuliko wanandoa wa umri wake.
 
Kabla ya kushauriwa wewe mwenyewe unasemaJe ?!.

Kama mnakusudia kupata watoto ktk ndoa hiyo, ni kama vile wakati unakuacha ki aina . Lakini kama ni maraha tu kuleni . Miss Daisy Llilies
 
hamufanyi mapenzi!!!! at his age and yours......sasa mkienda huko mnafanya nini.....chunga sana usijeolewa na HANITHI,,, eti tunaongea mpaka asubuhi....huyo ni mwanamke mwenzio.....kwani umri ni tatizo,,,kwame sio.....huyo ni mwanamke mwenzio....chunguza kwa makinikia.....sina hakika kuna MWANAUME........100% wote tu vipanga.....then akue na kiburudisho kama tooth pick...lazima akuchokoe tuuu....au anacho kiburudisho chake....au CHAPUTA family....
 
Mtu mzima mwenzio huyo si mtoto
Nashauri umkubali myajenge

sijaelewa kwanini na umri huo bado unasita
Try ur chance
 
Umri ulionao wenzio wanalea vitukuu..wewe bado unatafuta kuolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…