Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

Sioni tatizo age is just a number. Kama anataka kukuoa sioni tatizo au unahofia kwamba biological clock imeshagota? Changamkia FURSA labda ni chemistry kati yenu labda akiwa nawe anajiona ni mtu mwenye furaha ya ajabu ila hicho cha kwamba hamjawahi kufanya naye mapenzi kinashangaza. Umewahi kumpa denda? Umewahi kuwa uchi wa binadamu mbele yake? What was his reactions wakati wa kulana denda au alipokuona ukiwa uchi? Umewahi kupeleka ili kuchezea gegedo lake? Aulizaye ataka kujua ila kakupenda usimkorofishe.
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.

Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.

Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.

Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.

Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.

Sina mume wala sijawahi kuolewa.
 
Wanaume mnapendaga papochi au nini kwa mwanamke? Kama ni papachi nadhani ladha hiabadiliki na umri
 
Unategemea kuishi nae au aishi na mtoto wa dada yako?
 
Wanaume mnapendaga papochi au nini kwa mwanamke? Kama ni papachi nadhani ladha hiabadiliki na umri
Ladha haibadiliki na umri?..Hell nah,,,mfano 45 ni kuelekea Menopouse huko,ambako hata utelezi kwenye K unaanza kuisha..so papuchi haiwezi kuwa tamu kama ya mid-twenties
 
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.

Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.

Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.

Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.

Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.

Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Utanzania ni kabila au utaifa?
 
Nimesoma na kutabasamu...
Anyways nenda nae sawa... usihofie chochote...
 
Back
Top Bottom