Mkondo wa Nungwi
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 332
- 385
Nilikua bizy sana sikuwa na muda wa wanawakeHuku wengi hatuna hata biashara moja, subiri waje wazee wa biashara wakupe ABC ila mkuu kwanini uongi? Utatoa wapi nguvu ya kutafuta kama hawa mabibie hawakuchuni??
Nilikua bizy sana sikuwa na muda wa wanawake
Mkuu sikuweza kuweka kumbukumbu izo kipindi hiki cha mwisho wa kufilisika lakin nina historia nzuri tangu nianze biashara mwaka 94 mpaka nilipofilisika mwaka 2016Ukinionyesha vitabu vyako vya Mapato na Matumizi, nikiona na cash flow yako naweza kwambia shida ipo wapi.
Ila hivi hivi kumtafuta mchawi itakuwa ngumu sana bro.
Pole kwa maswahibu. Nataka kujua ukweli. Je, wakati ulioanza harakati zako za kufungua yao maduka11. Ulishawayi kutenga muda kumuomba na kumshukuru munguu imani yako? Je hicho kipato uliokua unazalisha ndani ya biashara zako. Ulishawahi kutenga angalau theluthi yake kurudisha shukran kwa kutoa Sadaka ndani ya nyumba ya mungu iliosimamisha imani yako?Ninaomba kusaidiwa mchango wa mawazo tatizo ni nini mpaka muda huu nimefilisika kabisa. Mwisho ndani ya miaka mitatu nimefilisika maduka 5. Ambayo nilikua nalipia kodi laki 5 kwa mwezi.
Nina mkosi gani au ndio majaliwa yangu au mipango ya mungu ama shetani.
Situmii kilevi na sijawahi kuhonga hata 30000.
Jambo la ibada sikuwahi kulizingatia sana nilikua naona muda haunitoshi kufanya sala 5 mara nyongine zilikua zinanipita na kuhisu kutoa nilianza nilipoona mambo yamenikubali kibiashara na mzunguko ulikua mzuri lakin saiv niko bench nafanya sala zote na nimejifunza utamaduni wa kutoa kila ninachokipata.Pole kwa maswahibu. Nataka kujua ukweli. Je, wakati ulioanza harakati zako za kufungua yao maduka11. Ulishawayi kutenga muda kumuomba na kumshukuru munguu imani yako? Je hicho kipato uliokua unazalisha ndani ya biashara zako. Ulishawahi kutenga angalau theluthi yake kurudisha shukran kwa kutoa Sadaka ndani ya nyumba ya mungu iliosimamisha imani yako?
Kama ndio yote ulikua unayatekeleza baci kuna njia za kukurudishia hizo mali ulizopoteza. njoo ntakusaidia utaweza . ila kama hujawahi kumkumbuka baci ujue umeshagongwa mihuri ya safari ya kupotea duniani. Siku zote utakua Binadamu wakupoteza hadi mwisho wa pumzi zako.
Hahahahaaaaa hata mimi awamu ile pyuuuuAwamu ile tulifilisika kwa nguvu, awamu hii ni automatically unajikuta nje ya mfumo, nasubri ushauri na mimi
Mali bila daftari hupotea bila habariMkuu sikuweza kuweka kumbukumbu izo kipindi hiki cha mwisho wa kufilisika lakin nina historia nzuri tangu nianze biashara mwaka 94 mpaka nilipofilisika mwaka 2016
Huh!! Busy na nini huo umri hadi usifaidi mema ya hii dunia!! Basi tena!Nilikua bizy sana sikuwa na muda wa wanawake