Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,540
Huyo Lara 1 ndio mtaalam wa ujenzi au?
Ni bingwa wa kukosoa na anapenda pesa mingi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Lara 1 ndio mtaalam wa ujenzi au?
Habari wa JF , naomba msaada wa kimawazo na ushauri, Nina Mil.10 ninaplan ya kujenga nyumba yenye vyumba 3,
Je kwa hiyo pesa nyumba yangu itaishia wapi?
Kwa wenye uzoefu wa mambo ya ujenzi tafadhari....
Kabla hujaamua ni bora ufanye utafiti kuhusu kununua matofali au kufyatua matofaliIn theory kufyatua matofali kunapunguza gharama, lakini ukija kwenye practice kunaongeza gharama.
Why?
Bongo watu maadili HAKUNA. Kila unayedeal naye anatafuta mwanya wa kukudhulumu. Kufyatua matofali kuna mianya mingi sana ya kudhulumiwa kuanzia kwenye cement, maji na pia uwezekano wa kuibiwa matofali yenyewe kwa sababu yatakaa muda mrefu site.
Hapo unaona kwanza unacompromise quality ya matofali yenyewe lakini pia unaongeza mianya ya kuibiwa na vilevile unajipa mzigo wa kuyalinda matofali. Ukijumlisha na gharama za usimamizi wa shughuli ya ufyatuaji utaona umeongeza direct and indirect costs.
Utaratibu wa kununua matofali ni mzuri kama ule wa Just-In-Time (JIN).
iyo 10M si uifanyie buznes mkuu? Kujenga ni woga wa maisha, tafuta ela kwanza mambo mengine yatajipa wkt ukifika
iyo 10M si uifanyie buznes mkuu? Kujenga ni woga wa maisha, tafuta ela kwanza mambo mengine yatajipa wkt ukifika
Mkumbo wa kitu gani?acha kufuata mkumbo
Mkuu acha hizo lengo la kuanzishwa hii thread ni pamoja na wengine kupata ujuzi, huko PM unaficha nini? Mwaga ujuzi hapa...Karibu sana kinyerez mm nimejenga huku kwa msaada zaidi PM kwangu nikupe info na uzoefu nliotumia
Pia ameshindwa kujiuliza hiyo 10M imepatikana vipi, inawezekana ndio faida ya hiyo biasharaacha kufuata mkumbo
hapo sasa.....waswahili wanasema 'iga ufe'Pia ameshindwa kujiuliza hiyo 10M imepatikana vipi, inawezekana ndio faida ya hiyo biashara