Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Ndugu we anza tu mil 10 unajenga mpaka level ya lenta na kubakiwa na vijisent vyako
Kwa sie mafisadi, hiyo ni hela ya gate tu baass !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu we anza tu mil 10 unajenga mpaka level ya lenta na kubakiwa na vijisent vyako
Jenga mkuu, kama kama kiwanja chako kiko kwenye eneo la flat na la kichanga ambalo sio mfinyazi basi kwa kifupingharama zako zitakuwa hivi
Msingi: tofali 500 x 1200tsh= 600000/= msingi wako utakwa wa tofali tano (height)
Cement: msingi 15x17000= 255000
Nondo za mkanda (10 mm) 15x15000=225000
Cement za mkanda 15x 17000 = 255000
binding wire, mbao, misumari, ring, maji na dharura: 500,000/=
Kokoto unanunua mende moja 300000, kokoto zitabakia mingi za kuwekea mkanda wa juu rental
mchanga mende moja 300000
JUMLA YA MSINGI BILA HELA YA FUNDI = 2,455,000/=
Boma: Tofali 1040 x 1200= 1,248,000
Cement 20x 17000= 340000
Mchanga mende2 =600000
Maji na mengineyo= 500,000
JUMLA YA BOMA BILA HELA YA FUNDI = 2,688,000
Mkanda wa juu, hapo inakuwa ni nafuu kidogo kwani mbao utakuwa nazo, kokoto zitakuwepo, mchanga utakuwepo na size yake itakuwa ndogo kwani tofali zitakuwa za wima na gharama yake itakuwa hivi
Nondo (mm10) 15x 15000= 225000
cement za mkanda 15x 17000= 255000
Binding wire, ringi, misumali, mbao za sahani, maji na dharura=500000
JUMLA JUMLA YA MKANDA WA JUU BILA FUNDI = 980000
JUMLA KUU BILA FUNDI = 6,123,000/=
KIFUSI CHA KUJAZA NDANI NA KAZI ZA DHARURA= 2,000,000/
FUNDI MAKUBALIANO LAKINI ISIZIDI = 2,000,000
JUMLA YA MWISHO 10,123,000/=
mimi sio fundi ila nina uzoefu sana wa ujenzi hasa wa Dar,
hiyo gharama imezingatia kuwa , kiwanja chako kiko tambarare, na ground ni ya kichanga au udongo unaofanan na kichanga sio mfinyanzi
pia hesabu hiyo itapatikana tu ikiwa kila kitu unanunua mwenyewe na wewe ndio msimamizi mkuu wa show nzima

Je kama anunua mchanga na kuweka watu wa kupiga tofali na kuwalipa badala ya kununua tofali haitapunguza gharama?
Jenga kama ndege anavyojenga kiota chake....usiwe na papara, utafika tu.......kwa kawaida msingi wa nyumba ndio nyumba.....hivyo hakikisha msingi unakuwa imara.....na pesa nyingi itatumika hapo.......sehemu nyingine itayokula pesa yako kisawasawa ni finishing......aisee.....si mchezo......
iyo 10M si uifanyie buznes mkuu? Kujenga ni woga wa maisha, tafuta ela kwanza mambo mengine yatajipa wkt ukifika
Milioni 10 ni poa sana kwa kuanza kujenga nyumba,Mkuu kama eneo hilo lina udongo mgumu basi msingi tu unaweza kutumia kama Milion moja na nusu hapo ushamlipa fundi then zinazobaki utafika mbali sema kila siku mambo yanabadilika nikiwa na maana ya bei ya vifaa vya ujenzi.Kila la kheri mkuu
In theory kufyatua matofali kunapunguza gharama, lakini ukija kwenye practice kunaongeza gharama.
Why?
Bongo watu maadili HAKUNA. Kila unayedeal naye anatafuta mwanya wa kukudhulumu. Kufyatua matofali kuna mianya mingi sana ya kudhulumiwa kuanzia kwenye cement, maji na pia uwezekano wa kuibiwa matofali yenyewe kwa sababu yatakaa muda mrefu site.
Hapo unaona kwanza unacompromise quality ya matofali yenyewe lakini pia unaongeza mianya ya kuibiwa na vilevile unajipa mzigo wa kuyalinda matofali. Ukijumlisha na gharama za usimamizi wa shughuli ya ufyatuaji utaona umeongeza direct and indirect costs.
Utaratibu wa kununua matofali ni mzuri kama ule wa Just-In-Time (JIN).
Habari wa JF , naomba msaada wa kimawazo na ushauri, Nina Mil.10 ninaplan ya kujenga nyumba yenye vyumba 3,
Je kwa hiyo pesa nyumba yangu itaishia wapi?
Kwa wenye uzoefu wa mambo ya ujenzi tafadhari....