Nina milioni 100 nataka nifungue kituo cha tiba(Afya) Tanzania

Nina milioni 100 nataka nifungue kituo cha tiba(Afya) Tanzania

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
458
Wakuu salaam,

Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku Maddison Wisconsin itakuwa sijatenda haki kwa ndugu zangu waTanzania ambao wanateseka na huduma za Afya na huduma yangu itakuwa affordable kwa kila MTanzania wa hali yoyote ile.

Ila kwa hapa sitoangalia wenye GPA above 4.5 ni wowote yule can fit but highly competent folks encourage to apply but nilifikilia kufungua hiki kituo kenya ila naona sitotenda haki kwa ndugu zangu waTanzania

Mkunga wa jadi,
Kwasasa Madisson, Wisconsin U.SA
 
Wazo zuri sana , naunga mkono hoja , ila kama ungetaka kupiga pesa ya maana kupitia hilo ni bora ungefungulia Kenya tu kama huo uwezo unao.🤔
 
Wakuu salaam,

Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku Maddison Wisconsin itakuwa sijatenda haki kwa ndugu zangu waTanzania ambao wanateseka na huduma za Afya na huduma yangu itakuwa affordable kwa kila MTanzania wa hali yoyote ile.

Ila kwa hapa sitoangalia wenye GPA above 4.5 ni wowote yule can fit but highly competent folks encourage to apply but nilifikilia kufungua hiki kituo kenya ila naona sitotenda haki kwa ndugu zangu waTanzania

Mkunga wa jadi,
Kwasasa Madisson, Wisconsin U.SA
Kama uta wiwa nitafuteeee
 
Dispensary kwa 100M sawa,
Kituo cha Afya kwa 100M hapana, hususan ukiweka na waajiriwa hapo hapo,

Anza na dispensary, au nenda pharmacy
 
Utatoa huduma zipi mkuu?
Maana hiyoo 100M hata Detector ya X ray Machine hupati.
Ila ukifaniliwa niajili mimi.
 
mambo ninayoyaona kwenye vituo vya afya vilivyokamilika ni hivi, 1:xray 2:ultrasound 3: theater kufanyia upasuaji mdogo,4: idara ya macho, 5 pua na masikio 6: idara ya meno 7: wodi ya wagonjwa 8: clinic
Naamini wenye utaalam wa mambo ya afya wanaweza kueleza zaidi, mimi hizo ni huduma zinazopatikana kwenye kituo cha afya sehemu ninapoishi ,, sasa milioni 100 hata majengo haitoshi.
 
Back
Top Bottom