mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
Kenya hapana mkuu feasibility study yangu naona kwa Tanzania atleast halafu lengo sio kupiga hela tu ni kuisaidia community ya BongoWazo zuri sana , naunga mkono hoja , ila kama ungetaka kupiga pesa ya maana kupitia hilo ni bora ungefungulia Kenya tu kama huo uwezo unao.π€
OK kila la heriKenya hapana mkuu feasibility study yangu naona kwa Tanzania atleast halafu lengo sio kupiga hela tu ni kuisaidia community ya Bongo
Lengo kusaidia? Kumbuka TRA,osha,brela,fire,halmashauri nk wao hawatojua kama unasaidia jamii.Kenya hapana mkuu feasibility study yangu naona kwa Tanzania atleast halafu lengo sio kupiga hela tu ni kuisaidia community ya Bongo
Kama uta wiwa nitafuteeeeWakuu salaam,
Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku Maddison Wisconsin itakuwa sijatenda haki kwa ndugu zangu waTanzania ambao wanateseka na huduma za Afya na huduma yangu itakuwa affordable kwa kila MTanzania wa hali yoyote ile.
Ila kwa hapa sitoangalia wenye GPA above 4.5 ni wowote yule can fit but highly competent folks encourage to apply but nilifikilia kufungua hiki kituo kenya ila naona sitotenda haki kwa ndugu zangu waTanzania
Mkunga wa jadi,
Kwasasa Madisson, Wisconsin U.SA
Sio ndogo kama atanunua kituo cha afya kwa mtu ambae anauza na kukifanyia marekebisho kidogo , kituo cha afya hakihitaji mambo mengi.Mil 100 ndogo
Hili tangazo la kusaka mbususu humu limekaa kimkakati sana broh..nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania
πππππ umenchekeshaEvelyn Salt nilijua ni mzee wa mabiashara nlivoona milioni 100 π€£π€£π€£
Na hiyo pesa nimejibana kwa kubeba mabox aiseeMil 100 ndogo
Mkuu ππDispensary kwa 100M sawa,
Kituo cha Afya kwa 100M hapana, hususan ukiweka na waajiriwa hapo hapo,
Anza na dispensary, au nenda pharmacy
Everything serious kuna mada nyingine humu hatumaanishi ila nina hiyo project ya 100MHili tangazo la kusaka mbususu humu limekaa kimkakati sana broh..
Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 | JamiiForums Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5