Billion Dolar JF-Expert Member Joined Apr 7, 2021 Posts 1,449 Reaction score 3,287 Sep 13, 2025 #21 Milion 100 pesa kidogo sana ungeshajenga ukanunua vifaa ukawa na mil 100 utatoboa
Karaoke JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 879 Reaction score 1,720 Sep 13, 2025 #22 wataalam hebu nijulisheni tofauti ya polyclinic na health centre.
Tonny Kapola Gas Station JF-Expert Member Joined Aug 14, 2025 Posts 1,023 Reaction score 3,334 Sep 13, 2025 #23 antimatter said: Hili tangazo la kusaka mbususu humu limekaa kimkakati sana broh.. Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 | JamiiForums Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 Click to expand... antimatter said: Hili tangazo la kusaka mbususu humu limekaa kimkakati sana broh.. Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 | JamiiForums Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 Click to expand... Likely jamaa ni Mhaya. Hapo kaweka mpaka na address kamili kabisa anapokaa... Mbususu atazipata tu maana si kwa swaga hizi. Wahaya ni tatizo aisee 😂
antimatter said: Hili tangazo la kusaka mbususu humu limekaa kimkakati sana broh.. Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 | JamiiForums Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 Click to expand... antimatter said: Hili tangazo la kusaka mbususu humu limekaa kimkakati sana broh.. Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 | JamiiForums Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5 Click to expand... Likely jamaa ni Mhaya. Hapo kaweka mpaka na address kamili kabisa anapokaa... Mbususu atazipata tu maana si kwa swaga hizi. Wahaya ni tatizo aisee 😂
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 14, 2025 #24 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,787 Reaction score 131,638 Sep 14, 2025 #25 Kama una jengo tayari utaweka vitu vichache na haitaitwa Health Centre. 100m haitoshi kufungua kituo cha afya, facilities za mambo ya afya ni gharama sana.
Kama una jengo tayari utaweka vitu vichache na haitaitwa Health Centre. 100m haitoshi kufungua kituo cha afya, facilities za mambo ya afya ni gharama sana.