Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?


Ili iwe yakisasa zaidi chini unatakiwa kuweka 3D Epoxy Floor
Sh.95,000 kwa sqm
Kwa kua kazi nikubwa itapunga kidogo
 
Ha
Hapo kwenye sweeming pool nitafute ni pro katika hizo anga kama ukifanikiwa
 
Milioni 100 vyumba 20 = 100/20 yaani chumba hadi finishing mil 5. Japo nimesoma la viib hii hela yako ni kiduchu mno. Inatosha mbao za kupaulia labda na bati Kwa shida sana.
 
Labda ujenge ya tofali za choma, kwa moram bila saruji, kwenye kupaua utumie mbao kwa mbaali na bati weka zile za kujengea mabanda ya kuku , na rangi pala chokaa itawezekana
 
Bwana mbere weng hum hata kibanda hawana,halaf jf sio sehem ya kuomba ushaur wa maendeleo,humu kuna watu masikin na wenye wivu wa ajab..si unaona comments zao?..100mil ni hela nying kwa ambao tunafaham hayo mambo na ambao tushajenga hzi nyumba,askutishe mtu,hvyo ulivyotaja unaweza vipunguza kwa idad ila lengo lako likatimia..i built 4 apartments za mteja wangu kwa 100mil ila not furnished.ila askukatishe mtu tamaa,nna mjengo wa 24mil ukiuona huwez amin,na bado nashusha mwingne,usiwaskie hawa wapumbav wa jf.maskin hawa wazee wa kukatisha watu tamaa
 
Njoo nikutengezee design na bill of quantities, hio million 100,itafaa kwa kuanzia
 
MKUU, LABDA UJENGEWE NA TBA WAZEE WA KUEXPAND. HELA NDOGO HYO, JENGA LODGE YA WASTANI, YA VYUMBA 7 HIVI, WAKAT UNAJPANGA KUJENGA HYO YA NDOTO YKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…