Mia haitoshi mkuu andaa funguu lakueleweka1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Hiyo senti ni kwa nyumba ya kawaida kama vyumba vinne tu. Una habari kuwa nyumba za NSSF za Kijichi ni kuanzia shilingi 260 milioni kwa nyumba ya vyumba vitatu?1. Room 20 za kisasa
2. Vitanda vikubwa vya kisasa
3. A.c.
4. Maji ya moto, kwa hita kubwa
5. Sweeming pool
6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine.
7. Reception safiii
8. Counter ya kisasa nje.
Yaani mimi ni kuanza kutumia tu.
Eneo ni langu Nina 100ml
Kuna kitu maduhu hotel, vyumba kama hekalu, bonge la bed et elf 20 tena gorofa najiuliza wanapataje faida aisee mbona cheap sana.Tena overpriced.
Napenda Mwanza bei ziko reasonable...mf MIPA wanabei nzuri na vyumba kama uko Guangzhou
Misalaba Paul (MIPA) mzee wa madini,ghorofa simple Bei ya kushawishi.Mwanza wapo vizuri Eden Palace, Victoria Palace, Belmont ,za zamani kama New Mwanza ,La Kairo na Kingdom, Za hadhi ya juu ya Gold Crest na .........Mwanza kati ya hotel nyingi nilizolala zipo vizuri na huduma safi.Tena overpriced.
Napenda Mwanza bei ziko reasonable...mf MIPA wanabei nzuri na vyumba kama uko Guangzhou
Dodoma na Moro sio safi Arusha na Dar hotel zipo vizuri.Kuna kitu maduhu hotel, vyumba kama hekalu, bonge la bed et elf 20 tena gorofa najiuliza wanapataje faida aisee mbona cheap sana.
Ila dodoma sasa kuna hii inaitwa OKAOMI ipo area A ya kawaida sanaa bei zake sasa
Dodoma kila kitu overpriced.Misalaba Paul mzee wa madini,ghorofa simple Bei ya kushawishi.Mwanza wapo vizuri Eden Palace, Victoria Palace, Belmont ,za zamani kama New Mwanza ,La Kairo na Kingdom, Za hadhi ya juu ya Gold Crest na .........Mwanza kati ya hotel nyingi nilizolala zipo vizuri na huduma safi.
Usichukulie poa makuti ukadhani ni kitu simpo kama mavuzxxxKama ni Motel Ya Makuti inatosha sana hiyo na watalii ndio wanapenda
Ni Ujenzi wa Motel na si modern house...Milion 100 kwenye ujenzi wa ‘modern house’ ni pesa ndogo sana, huwezi jenga nyumba yenye gorofa2 kwa 100m, sana sana utauwa wapangaji kwa mjengo kuporomoka!