Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

Hiz sheria za nchi za kipuuzi kweli yani bidhaa ukienda ug,Burundi, drc, Zambia, Malawi, SA unaikuta ila eti kwa tz inawekwa kwenye orodha ya magendo
Hizi sheria zilitengenezwa miaka ya zamani sana kwa staili ya mitego ili kuwanufaisha vikundi vya watu fulani sasa nashangaa kwa nini zinaendelea kutumika zilezile bila kufanyiwa marekebisho hapo ndipo utagundua kuwa wasomi wa kibongo hasahasa walioajiriwa na taasisi za kiserikali ni useless kabisa ina maana hakuna msomi hata mmoja anayeliona hili gap na kushinikiza kufanyike mabadiliko
 
Nenda drc hapo Kuna mzigo og wa vitenge halafu bei chee haya sasa shuka navyo... wakurungwa wakikudaka navyo ni zaidi ya bange.
 
Habari wana Jamii forums

Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani

Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz ile shughuli iliyofanya nikapata hiyo 12 ml bado sjataka kuiacha.

Mie nna mawazo kama mawili kichwani mwangu ambayo sjaamua nitoke na lipi

Wazo la kwanza ni duka la kawaida la kuuza vyakula kama mchele maharage na vitu vingine (maarufu duka la mangi) wazo la pili ni duka la electronics naweka na wakala (japo sjui kama mtaji huu utatosha).

Kindly naomba msaada wa mawazo si mbaya kama kuna idea nyingine nikapata.

Natanguliza shukrani sana.
Imekuchukua muda gani kukusanya iyo 12m
 
Kwa

Nza unatakiwa kuanza kuuza la mjomba au baba mdogo wako kwa muda usiopungua miaka minne, uonyeshe uaminifu na umakini wa hali ya juu sana+ ubahili mkali mno, kisha unajifunza kuuza bidhaa zako binafsi hapo hapo dukani kwa mjomba, zingatia kuwa kwa kipindi chote utakachokuwa unafanya kazi hapo hutalipwa, isipokuwa inapofika disemba utanunuliwa nguo na viatu vya bei rahisi, utapewa na vihela kidogo vya kunywa soda wakati unasherehekea krismas huko kwenu rombo, ukishakomaa kwenye hiyo biashara yako iliyopo ndani ya biashara ya mjomba hapo tayari utakuwa una mtaji wa tsh zisizopungua 120,000/= mtaji mkubwa sana huo, hata Mengi hakuanza na mtaji mkubwa hivyo, sasa ndiyo uanzishe duka lako, uzidishe ubahili kwa another 100% buni vyanzo vipya, uwe na side hustle kama vile ufugaji na kilimo, ukipata dili haramu calculate risk kwa chini ya dakika moja kisha execute!! Mpaka hapo utakuwa umeshaishiwa hadi na nguo zote, unashindia na kulalia overcoat tu, mwaka unaofuata watu wanaanza kukuhesabia ndugu uliowatoa kafara, ikifika hapo tambua tu kuwa "TAYARI" umeshatoboa! Utajiri wa kimangi ni tabu tupu hakyanani.
Dah kudaadeki majamaa wana roho ngumu sana.
Ila haya uliyoyaandika yana ukweli kuna Muha mmoja tulikuwa tumempangisha fremu nyumbani kwetu akiuza duka.
Aisee yule Muha ni kiboko unaambiwa alikiwa ana pensi moja ya jinsi na imekatika magotini ndio anashindia hiyohiyo kila siku na mke wake alikuwa ana gauni mbili na kanga mbili kila siku usiku wanafua nguo asubuhi wakiamka wanazivaa nguo zilizofuliwa usiku basi yule mkewe zile kanga zake ziliisha kwa kufuliwa ikafikia wakati ikawa ziko transparent yaani kama kioo.
Walikuwa na sufuria moja na sahani moja iliyopondekapondeka kama imepigwa mawe.
Walikuwa wanalala chini ndani ya ile fremu hakuna kitanda.
Alikaa pale kwa muda kama wa miaka 3 baadae wakahama na baada ya kupita miaka kadhaa nikaja kukutana naye maeneo ya Ubungo ana bonge la duka limejaza la mtaji sio chini ya milioni 15 au 20.
Watu wanaanzia mbali sana kwenye harakati za kutafuta
 
Habari wana Jamii forums

Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani

Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz ile shughuli iliyofanya nikapata hiyo 12 ml bado sjataka kuiacha.

Mie nna mawazo kama mawili kichwani mwangu ambayo sjaamua nitoke na lipi

Wazo la kwanza ni duka la kawaida la kuuza vyakula kama mchele maharage na vitu vingine (maarufu duka la mangi) wazo la pili ni duka la electronics naweka na wakala (japo sjui kama mtaji huu utatosha).

Kindly naomba msaada wa mawazo si mbaya kama kuna idea nyingine nikapata.

Natanguliza shukrani sana.
Nipe hiyo pesa jumatano kwa dakika 120 tu, baada ya mechi ya simba nakuridishia 24m.
 
Habari wana Jamii forums

Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani

Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz ile shughuli iliyofanya nikapata hiyo 12 ml bado sjataka kuiacha.

Mie nna mawazo kama mawili kichwani mwangu ambayo sjaamua nitoke na lipi

Wazo la kwanza ni duka la kawaida la kuuza vyakula kama mchele maharage na vitu vingine (maarufu duka la mangi) wazo la pili ni duka la electronics naweka na wakala (japo sjui kama mtaji huu utatosha).

Kindly naomba msaada wa mawazo si mbaya kama kuna idea nyingine nikapata.

Natanguliza shukrani sana.
Jichanganye katika biashara moja wapo
 
Kwa uhakika wa mzunguko weka duka la kawaida, hasara yake faida ni kiduchu sana.

Kwa faidaya haraka weka vifaa vya electronics ila haikupi uhakika wa mzunguko.
 
Back
Top Bottom