Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

Wakuu mfano unabiashara isiyoonekana kirahisi kwa macho ya watu ila unaingiza mpaka mil 9 per month ukikosa sana mil4 profit. Vipi hapo unakuwa unaenda kuukaribia utajiri si ndio? Nipeni majibu wachumi wa jf tafadhali
Una vuta bangi?
 
Back
Top Bottom