Ha ha haEti kichwa kinawaka moto..π
Ukishika bilioni si ndio utavua nguo ukatike katikati ya barabara ya Sam nujoma ama Ohio jijini daresalama?
Isiyoonekana kirahisi?Wakuu mfano unabiashara isiyoonekana kirahisi kwa macho ya watu ila unaingiza mpaka mil 9 per month ukikosa sana mil4 profit. Vipi hapo unakuwa unaenda kuukaribia utajiri si ndio? Nipeni majibu wachumi wa jf tafadhali
Biashara ili iwe nzuri anza na mtaji mdogo katika ya safar ndio unawez kuzimua mtajiIla ni kweli ukianza na milioni 12 utashangaa ukipiga hesabu kila mwezi inashuka 12,11,10,9,8,7,6,5,4,3,2,1 baada ya mwaka unafunga duka unawaacha wakina mangi na waha wanaendelea kama kawaida na mtaji wao wa laki 3
Unaweza ukawa huna duka/Banda ama unaduka dogo tu la kuzugia ila una store kubwa ya kupush mzigo usioonekanaIsiyoonekana kirahisi?
Itakuwa ngada tu hiyo
Sasa hii ni magendo ukishikwa na TRA utapewa kesi ya uhujumu uchumiUnaweza ukawa huna duka/Banda ama unaduka dogo tu la kuzugia ila una store kubwa ya kupush mzigo usioonekana
Hiz sheria za nchi za kipuuzi kweli yani bidhaa ukienda ug,Burundi, drc, Zambia, Malawi, SA unaikuta ila eti kwa tz inawekwa kwenye orodha ya magendoSasa hii ni magendo ukishikwa na TRA utapewa kesi ya uhujumu uchumi
Hizi sheria zilitengenezwa miaka ya zamani sana kwa staili ya mitego ili kuwanufaisha vikundi vya watu fulani sasa nashangaa kwa nini zinaendelea kutumika zilezile bila kufanyiwa marekebisho hapo ndipo utagundua kuwa wasomi wa kibongo hasahasa walioajiriwa na taasisi za kiserikali ni useless kabisa ina maana hakuna msomi hata mmoja anayeliona hili gap na kushinikiza kufanyike mabadilikoHiz sheria za nchi za kipuuzi kweli yani bidhaa ukienda ug,Burundi, drc, Zambia, Malawi, SA unaikuta ila eti kwa tz inawekwa kwenye orodha ya magendo
Nenda drc hapo Kuna mzigo og wa vitenge halafu bei chee haya sasa shuka navyo... wakurungwa wakikudaka navyo ni zaidi ya bange.Hizi sheria zilitengenezwa miaka ya zamani sana kwa staili ya mitego ili kuwanufaisha vikundi vya watu fulani sasa nashangaa kwa nini zinaendelea kutumika zilezile bila kufanyiwa marekebisho hapo ndipo utagundua kuwa wasomi wa kibongo hasahasa walioajiriwa na taasisi za kiserikali ni useless kabisa ina maana hakuna msomi hata mmoja anayeliona hili gap na kushinikiza kufanyike mabadiliko
Hata kama umelipa ushuru?Nenda drc hapo Kuna mzigo og wa vitenge halafu bei chee haya sasa shuka navyo... wakurungwa wakikudaka navyo ni zaidi ya bange.
Imekuchukua muda gani kukusanya iyo 12mHabari wana Jamii forums
Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani
Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz ile shughuli iliyofanya nikapata hiyo 12 ml bado sjataka kuiacha.
Mie nna mawazo kama mawili kichwani mwangu ambayo sjaamua nitoke na lipi
Wazo la kwanza ni duka la kawaida la kuuza vyakula kama mchele maharage na vitu vingine (maarufu duka la mangi) wazo la pili ni duka la electronics naweka na wakala (japo sjui kama mtaji huu utatosha).
Kindly naomba msaada wa mawazo si mbaya kama kuna idea nyingine nikapata.
Natanguliza shukrani sana.
Ustaadh hata kunijuza matokeo safaka wala mwenyewe hewallaUZA MAJENEZA SHEHE
UTANIKUMBUKA HAPA
ANDIKA TAR YA LEO
Dah kudaadeki majamaa wana roho ngumu sana.Kwa
Nza unatakiwa kuanza kuuza la mjomba au baba mdogo wako kwa muda usiopungua miaka minne, uonyeshe uaminifu na umakini wa hali ya juu sana+ ubahili mkali mno, kisha unajifunza kuuza bidhaa zako binafsi hapo hapo dukani kwa mjomba, zingatia kuwa kwa kipindi chote utakachokuwa unafanya kazi hapo hutalipwa, isipokuwa inapofika disemba utanunuliwa nguo na viatu vya bei rahisi, utapewa na vihela kidogo vya kunywa soda wakati unasherehekea krismas huko kwenu rombo, ukishakomaa kwenye hiyo biashara yako iliyopo ndani ya biashara ya mjomba hapo tayari utakuwa una mtaji wa tsh zisizopungua 120,000/= mtaji mkubwa sana huo, hata Mengi hakuanza na mtaji mkubwa hivyo, sasa ndiyo uanzishe duka lako, uzidishe ubahili kwa another 100% buni vyanzo vipya, uwe na side hustle kama vile ufugaji na kilimo, ukipata dili haramu calculate risk kwa chini ya dakika moja kisha execute!! Mpaka hapo utakuwa umeshaishiwa hadi na nguo zote, unashindia na kulalia overcoat tu, mwaka unaofuata watu wanaanza kukuhesabia ndugu uliowatoa kafara, ikifika hapo tambua tu kuwa "TAYARI" umeshatoboa! Utajiri wa kimangi ni tabu tupu hakyanani.
Nipe hiyo pesa jumatano kwa dakika 120 tu, baada ya mechi ya simba nakuridishia 24m.Habari wana Jamii forums
Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani
Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz ile shughuli iliyofanya nikapata hiyo 12 ml bado sjataka kuiacha.
Mie nna mawazo kama mawili kichwani mwangu ambayo sjaamua nitoke na lipi
Wazo la kwanza ni duka la kawaida la kuuza vyakula kama mchele maharage na vitu vingine (maarufu duka la mangi) wazo la pili ni duka la electronics naweka na wakala (japo sjui kama mtaji huu utatosha).
Kindly naomba msaada wa mawazo si mbaya kama kuna idea nyingine nikapata.
Natanguliza shukrani sana.
Jichanganye katika biashara moja wapoHabari wana Jamii forums

Kwa uhakika wa mzunguko weka duka la kawaida, hasara yake faida ni kiduchu sana.Habari wana Jamii forums