Nina milioni 12, nahitaji ushauri wa gari gani ninunue ambalo halitanisumbua

duh,mkuu naitaka ile yenye cc1500 vvti,nipe details zake,ulaji wa mafuta,kuhimili safari ndefu na utengenezwaji wake pindi ipatapo tatizo!!bila shaka unayo

Nauza Spacio New Model 1500cc,vvti, ya 2003, imeingia Tz Dec 2012 na kuanza kutembea Dar Feb '13. Muda niliokaa nayo 13-15km per litre oil consumption. bei ni 14M
 
nauhakika kwa mil 7 ntaipata tu kutoka japan
 
mkuu kujenga ni mchakato mrefu sana,ukikimbilia kujenga utajikuta unajenga banda badala ya nyumba

What's the point kuwa na gari hauna nyumba? Anyways, huu ni mtizamo wangu mimi kwani sioni umuhimu wa kuwa na gari huku unapanga nyumba ya mtu.
 
Nyumba si zipo za urithi wakuu,, mwachen jamaa ale zake bata na spacio yake
 
What's the point kuwa na gari hauna nyumba? Anyways, huu ni mtizamo wangu mimi kwani sioni umuhimu wa kuwa na gari huku unapanga nyumba ya mtu.

Hiyo ni kwa upande wako Mkuu! Kwa mwingine ni rahisi zaidi akiwa na gari ikamsaidia kujenga nyumba, kuliko nyumba imsaidie kununua gari!!!! Kila mtu ana vipaumbele vyake
 
Vijana wengi wanakimbilia kununua mikoko alafu kiwanja hana, kumiliki gari ni sawa na kumiliki mke pamoja na kimada
kakwambia hana nyumba??? mnataka kuingiza harakati mpaka kwenye maisha binafsi ya watu nyumba jenga wewe waje wakae ukoo wenu wa shamba acheni hizo bwana kaulizia gari sio nyumba
 
Sina la kuongeza kwani umeongea point ambayo vijana wengi hawaioni. Yaani una miliki gari unaishi kwenye nyumba ya kupanga?
 
Nimekuserukamba
 
Sina la kuongeza kwani umeongea point ambayo vijana wengi hawaioni. Yaani una miliki gari unaishi kwenye nyumba ya kupanga?

Vijana siku hizi hawafikirii maisha ya baadae leo una pesa kesho huna au umestaafu na huna akiba utaishije? Ngoja tuwaache wale mbuni fainali uzeeni.
 
Back
Top Bottom