duh,mkuu naitaka ile yenye cc1500 vvti,nipe details zake,ulaji wa mafuta,kuhimili safari ndefu na utengenezwaji wake pindi ipatapo tatizo!!bila shaka unayo
nauhakika kwa mil 7 ntaipata tu kutoka japanNauza Spacio New Model 1500cc,vvti, ya 2003, imeingia Tz Dec 2012 na kuanza kutembea Dar Feb '13. Muda niliokaa nayo 13-15km per litre oil consumption. bei ni 14M
Una milioni 12 unataka kununua gari. Je, nyumba yako binafsi unayo?
mkuu kujenga ni mchakato mrefu sana,ukikimbilia kujenga utajikuta unajenga banda badala ya nyumba
wewe inakuhusu nini??What's the point kuwa na gari hauna nyumba? Anyways, huu ni mtizamo wangu mimi kwani sioni umuhimu wa kuwa na gari huku unapanga nyumba ya mtu.
wewe inakuhusu nini??
nauhakika kwa mil 7 ntaipata tu kutoka japan
Una milioni 12 unataka kununua gari. Je, nyumba yako binafsi unayo?
wewe inakuhusu nini??
What's the point kuwa na gari hauna nyumba? Anyways, huu ni mtizamo wangu mimi kwani sioni umuhimu wa kuwa na gari huku unapanga nyumba ya mtu.
kakwambia hana nyumba??? mnataka kuingiza harakati mpaka kwenye maisha binafsi ya watu nyumba jenga wewe waje wakae ukoo wenu wa shamba acheni hizo bwana kaulizia gari sio nyumbaVijana wengi wanakimbilia kununua mikoko alafu kiwanja hana, kumiliki gari ni sawa na kumiliki mke pamoja na kimada
kaomba ushauri anunue gari gani hajauliza afanyie nini hela zake elewa swali ndo mana mnapata zeroHainihusu ila jamaa aliomba ushauri na nikamweleza hayo.
Sina la kuongeza kwani umeongea point ambayo vijana wengi hawaioni. Yaani una miliki gari unaishi kwenye nyumba ya kupanga?Vijana wengi wanakimbilia kununua mikoko alafu kiwanja hana, kumiliki gari ni sawa na kumiliki mke pamoja na kimada
kakwambia hana nyumba??? mnataka kuingiza harakati mpaka kwenye maisha binafsi ya watu nyumba jenga wewe waje wakae ukoo wenu wa shamba acheni hizo bwana kaulizia gari sio nyumba
Sina la kuongeza kwani umeongea point ambayo vijana wengi hawaioni. Yaani una miliki gari unaishi kwenye nyumba ya kupanga?