huyu mkereketwa anaonekana atakuwa ameishi sana uswazi maana ndiyo akili za kiswahili, nyumba haijengwi kwa siku moja, kwahiyo unategemea mwenzioyo atembee miaka yote hiyo hadi nyumba itakapoisha hivyo hiyo ni akilii au? be wise , hadi amefikiria kununua gari ameshafanya upembuzi yakinifu, ndiyo maana akauliza anunue gari gani na siyo afanyie nini pesa yake. utafikiri ulimsaidia kutafuta....Hiyo ni kwa upande wako Mkuu! Kwa mwingine ni rahisi zaidi akiwa na gari ikamsaidia kujenga nyumba, kuliko nyumba imsaidie kununua gari!!!! Kila mtu ana vipaumbele vyake
huyu mkereketwa anaonekana atakuwa ameishi sana uswazi maana ndiyo akili za kiswahili, nyumba haijengwi kwa siku moja, kwahiyo unategemea mwenzioyo atembee miaka yote hiyo hadi nyumba itakapoisha hivyo hiyo ni akilii au? be wise , hadi amefikiria kununua gari ameshafanya upembuzi yakinifu, ndiyo maana akauliza anunue gari gani na siyo afanyie nini pesa yake. utafikiri ulimsaidia kutafuta....Una milioni 12 unataka kununua gari. Je, nyumba yako binafsi unayo?
huyu mkereketwa anaonekana atakuwa ameishi sana uswazi maana ndiyo akili za kiswahili, nyumba haijengwi kwa siku moja, kwahiyo unategemea mwenzioyo atembee miaka yote hiyo hadi nyumba itakapoisha hivyo hiyo ni akilii au? be wise , hadi amefikiria kununua gari ameshafanya upembuzi yakinifu, ndiyo maana akauliza anunue gari gani na siyo afanyie nini pesa yake. utafikiri ulimsaidia kutafuta....

Hiyo ni kwa upande wako Mkuu! Kwa mwingine ni rahisi zaidi akiwa na gari ikamsaidia kujenga nyumba, kuliko nyumba imsaidie kununua gari!!!! Kila mtu ana vipaumbele vyake
Sina la kuongeza kwani umeongea point ambayo vijana wengi hawaioni. Yaani una miliki gari unaishi kwenye nyumba ya kupanga?
It just doesn't make any sense.Yani kwa kuwa we huna nyumba basi unadhani wote hawana, mtu kaulizia gari mnamletea habari za nyumba. Vipi bana!
huyu mkereketwa anaonekana atakuwa ameishi sana uswazi maana ndiyo akili za kiswahili, nyumba haijengwi kwa siku moja, kwahiyo unategemea mwenzioyo atembee miaka yote hiyo hadi nyumba itakapoisha hivyo hiyo ni akilii au? be wise , hadi amefikiria kununua gari ameshafanya upembuzi yakinifu, ndiyo maana akauliza anunue gari gani na siyo afanyie nini pesa yake. utafikiri ulimsaidia kutafuta....
Vijana siku hizi hawafikirii maisha ya baadae leo una pesa kesho huna au umestaafu na huna akiba utaishije? Ngoja tuwaache wale mbuni fainali uzeeni.

mkuu pono ni yadi gani dar ambayo ni nzuri ninaweza kupata toyota rav 4 old model ambayo haijachakachuliwa
Usitokwe na povu kijana incharge, vijana wengi hapa Dar including ndugu zangu tunawaona wananunua magari yaliyochoka - used, huku hawana any projects, matokeo yake baada ya muda gari linakuwa juu ya miti na kijana ameishiwa anabaki kuomba hela za kulitengeneza hilo gari. Uliza ama omba ushauri kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atakuambia tu, unataka kununua gari kiwanja ama nyumba unayo? Vijana wengi wanapenda kuigana na kujiingiza kwenye hasara kisa fulani ana gari, basi na mimi nanunua gari langu. Sasa milioni 12 kwa akili yako utanunua gari gani la maana? 98% ya magari ya hapa Tanzania ni ya kubambikiwa (used from abroad - yanasafishwa upya na kupakwa rangi kasha yanaletwa hapa ili yaoze na kuwa nuisance ya foleni jijini.
Sawa kabisa, sasa anzisha thread yako ya ushauri kwa vijana wanaopenda magari kabla ya nyumba, hii ni kuhusu gari ya aina gani inunuliwe, just that tuokoe muda kaka. 'GARI ANASA' ilikuwa zamani mkuu, usafiri wenyewe wa bongo watu wanaingilia madirishani kwenye daladala kwa nini nisiwe na gari yangu nikachagua njia 'THINK' ina maana ukianza kununua gari ndo nyumba hupati tena? ni mwiko? Maisha hayana Formula mkuu.
RED: Gari lako umenunua shs ngapi?
Carina Ti is the best and very economically
Vijana siku hizi hawafikirii maisha ya baadae leo una pesa kesho huna au umestaafu na huna akiba utaishije? Ngoja tuwaache wale mbuni fainali uzeeni.