Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Marnah

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
1,124
Reaction score
303
Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!

Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
 
Ni pm nitakushauri ninaexposure kubwa ya kugundua profitable business. Na hata ukitaka kuingia ubia nami haina shida.
 
Unaweza kufungua kituo cha mafuta,Tank 3 kama 150m, moja ya diesel, nyingine ya mafuta ya taa na nyingine ya petrol.
pump 3 kama 18m. Jenga Jengo dogo la kiushikaji kama ofisi, nunua sehemu kando ya barabara unaweza tumia kama 20M na 30m kujenga jengo dogo la kiushikaji kwa ajili ya ofisi.Kopa kama 200m nyingine anzia hapo.
 
Ila vizur uonane na maconsultants ili wakupe dira you must invest in yourself first.
 
Fanya zooote ila ya sembe tafadhali sana,, tuonee huruma kizazi hiki Marnah

Ngoja lara 1 ana utaalam wa biashara atakuja kukushauri

hahhahah jaman kaizer,,..ur so funny,,..asante mwaya sembe ata me naiogopajeeeeeeeeee,,...nifanyeje sasa em nishauri
 
Last edited by a moderator:
wow ukiwa creative tht is alot of money! mimi ni expert wa mambo ya ujasiriamali na kama hayo na ni consultant wa business na entrepreneurship, u can contact me, na in the mean time, kuwa open minded na kila unapopita angalia gaps utagundua opportunities.
N.B ukiamua kusubiri pls lend me 100,000 na riba, nitafanyia kazi nitakurudishia ndani ya a very short period of time. please! wishing u all the best
 
nunua nyumba au jenga na uigeuze kuwa guest house inalipa saaana

ahsante sana kwa kujali but kwa imani yangu siwezi kujenga guest wala bar,,....another option pls
 
wow ukiwa creative tht is alot of money! mimi ni expert wa mambo ya ujasiriamali na kama hayo na ni consultant wa business na entrepreneurship, u can contact me, na in the mean time, kuwa open minded na kila unapopita angalia gaps utagundua opportunities.
N.B ukiamua kusubiri pls lend me 100,000 na riba, nitafanyia kazi nitakurudishia ndani ya a very short period of time. please! wishing u all the best

worry out napenda sana kuwawezesha wanawake wenzangu kwa hichi kidogo nilichojaliwa na Mungu,,...japo wengi nkishawapa pesa huingia mitini,,..ila usijali ntakusaidia
 
Unataka biashara inayoingiza faida kiasi gani kwa mwaka? Upo tayari juchukua risk ya kiasi gani?

Kuweka benki kwa fixed deposit inaweza kuwa njia nzuri kama hutaki kujishughulisha moja kwa moja na usimamizi wa kila siku wa biashara au sehemu utakayoweka mtaji wako. Kuna benki wanatoa asilimia 11 au zaidi kidogo kwa mwaka. Interest kama ukitaka inaweza kuingia kwa account yako on a monthly basis. So kwa hizo tzs 270m unaweza kuwa unapata kama tzs 2.5m kwa mwezi huku ukiendelea kufanya shughuli zako kama kawaida. Unaweza kutumia benki mbili au tatu ili kupunguza risk (usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja!)
 
Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!

Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!

Quick and simple advice mdogo wangu, chukua pesa yako kafungue fixed account endelea kupiga kazi mpaka pale utakapokuwa tayari kufanya biashara. Au kanunue fixed asset kama nyumba tena nakusistizia siyo kiwanja. Nasema hivyo sababu ya hizi sentensi zako mbili "Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida"

Lakini pia kumbuka biashara inahitaji hashiki, shauku na matamanio ya kile kitu unachokwenda kufanya ili hata pale utakapoangua hivi vitu vitatu vitakushawishi uamke na ujipanguse na kuanza tena vita upya. Pia inataka kujitoa lakini usipokuwa makini hiyo 270 milioni utazitia mtaroni mdogo wangu halafu utajuta. Mwisho, huu ushauri wangu utakuwa hauna maana kwenye biashara yoyote ile kama wewe mwenyewe hauna shauku navyo hivyo vitu vine nilivyosisitizia hapo juu. Mshauri wa biashara atakushauri jinsi ya kufanya biashara lakini si aina gani ya kuafanya hii yote sababu biashara inaanzia moyoni mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom