- Thread starter
- #21
Kwanza tueleze umezipataje hizo hela na nchi au mkoa unaoishi nchini Tanzania kisha nitakushauri biashara ya kufanya,
Usiogope swali hilo ni muhimu sana kibiashara!
kaka vp? Yaan milioni 270 tu unauliza kua nimezipataje?....hahaha kwel Tz bado saana,,...mbona pesa ya kawaida sana? Na wenye kumiliki Mabilioni nao watasemaje?..,,,au huo ndo urithi wa mawazo uloachiwa na babu yako Nyerere?? ok nna nyumba kadhaa nimerent wazungu kwa dollars maeneo ya mbez na msasan,,...na mbal na hapo nna v mpesa,,...tigopesa na maduka kadhaa mjini,,...ni ayo tu kwa ufupi hope umenielewa