Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Kuwa agent wa kiriba original baada ya miezi 2 ama 3 utakuja nipa report...inawafanya watu kuwa millionaire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuunga mkono mdau
Tushirikiane. Nina ardhi yenye maji yakutosha na utaalam wa ufugaji samaki. Toa 50 tufanye kazi.Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
unataka biashara inayoingiza faida kiasi gani kwa mwaka? Upo tayari juchukua risk ya kiasi gani?
Kuweka benki kwa fixed deposit inaweza kuwa njia nzuri kama hutaki kujishughulisha moja kwa moja na usimamizi wa kila siku wa biashara au sehemu utakayoweka mtaji wako. Kuna benki wanatoa asilimia 11 au zaidi kidogo kwa mwaka. Interest kama ukitaka inaweza kuingia kwa account yako on a monthly basis. So kwa hizo tzs 270m unaweza kuwa unapata kama tzs 2.5m kwa mwezi huku ukiendelea kufanya shughuli zako kama kawaida. Unaweza kutumia benki mbili au tatu ili kupunguza risk (usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja!)
Mara nyingi rate huwa ni negotiable (pamoja na kuwa bank inaweza kuwa na limits zake) na inategemea kiwango unachoweka. Nafahamu Standard Chartered wanaweza kutoa 11%, kama una fix-deposit TZS 50m na kuendelea. TIB pia nao wanaweza kutoa kiwango rate hiyo ila sina uhakika na minimum fix deposit wanayotaka.Hivi ni benki gani mkuu nami nataka niweke hela zangu huku nikifiria nifanye biashara gani hapo baadaye
Mara nyingi rate huwa ni negotiable (pamoja na kuwa bank inaweza kuwa na limits zake) na inategemea kiwango unachoweka. Nafahamu Standard Chartered wanaweza kutoa 11%, kama una fix-deposit TZS 50m na kuendelea. TIB pia nao wanaweza kutoa kiwango rate hiyo ila sina uhakika na minimum fix deposit wanayotaka.
Ukishindwa banki, nikopeshe mie nikupe 13%!:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Hivi ni benki gani mkuu nami nataka niweke hela zangu huku nikifiria nifanye biashara gani hapo baadaye
kaka vp? Yaan milioni 270 tu unauliza kua nimezipataje?....hahaha kwel Tz bado saana,,...mbona pesa ya kawaida sana? Na wenye kumiliki Mabilioni nao watasemaje?..,,,au huo ndo urithi wa mawazo uloachiwa na babu yako Nyerere?? ok nna nyumba kadhaa nimerent wazungu kwa dollars maeneo ya mbez na msasan,,...na mbal na hapo nna v mpesa,,...tigopesa na maduka kadhaa mjini,,...ni ayo tu kwa ufupi hope umenielewa
Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
Siyo ajabu wala siyo za kwake kambahatisha mzungu kamwambia atafute cha kufanya.Yapaswa ujiulize kazipataje hizo?kwa nini asiendelee na hicho kilichofanya akapata pesa hizo?Mpuuzi wewe!!! Kumbe unajua biashara afu unakuja kutibua wana JF? Unavyosema huna experience na biashara ulikuwa unamaanisha nini? Seriously utakuwa una 270, 000/= tuu hapo ulipo
Nitqfute mkuu tupqnge dili nipm
Mama kwa pesa kama hiyo kuzungumza juu haitasaidia kutimiza lengo, karibu ofisini kwetu OMEGA CONSULT LIMITED tupo Sinza Kumekucha near Fine Travellerz Hotel, tunadili na wajariamali wadogo,wakati na wakubwa, njoo tukupe ful mchanganuo wa biashara na mawazo ya miradi na kile utakachokifanya na kukupa faida madufu ya utakachokiwekeza kwa mda mchache...tunaexperience ya miaka 5 na kazi yetu, Wajasiriamali wengi waliopitia kwetu wapo mbali sanaaaa.... kwa mawasiliano: 0714-074040,0785074040, karibu sana.