Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Wenye hit pesa hawana muda Wa kuja kupiga perepete humu kuomba ushauri

Mbafff
 
Wekeza ukawa watakups ticket ya kugombea urais
 
Mia 2 weka fixed account 70 kanunue mchele mbeya kipindi cha mavuno weka store dar baada ya msimu kuisha subiri miezi mitatu ingiza mzigo sokoni
 
Nafikiri tungeachana na masuala ya kununua na kuuza tuingie kwenye Manufacturing...Hizi pesa zinaweza kufungua kiwanda Kidogo cha kurecyle plastic ukauza china...
 
Am a financial consultant... u ready to pay consultation fee?? 10% PM pls
 

Pm mimi
 
UTT
 
Kwa jibu hili huna hizo hela.
 
Sikia nenda crdb uongee nao ili uwekeze kwenye hati fungani,utapata faida na pesa zako zitakuwa salama
 
Sasa hivi ni 2024 tupe mrejesho? Au umekuwa omba omba babeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…