Hapa hakuna operational costs mkuu?1.5 M nunua Ng’ombe wamaziwa mwenye mimba anza ufugaji anao uwezo wa kutoa lita 5 mpaka 12 za maziwa. Weka makadirio ya chini Lita 5@1000 kwa Siku 5000*30 mwezi =150,000 kwa miezi 10 Ela umerudisha ya Ng’ombe.
Pesa nyingine inayobakia tafuta mifugo mingine ufunge.
Uvumilivu unahitajika