ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Tusichague kaz wakuu 😀😀Aiseeee kuna ushauri na ushauri, naona dawati la ushauri lifungwe sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusichague kaz wakuu 😀😀Aiseeee kuna ushauri na ushauri, naona dawati la ushauri lifungwe sasa
Aaah, unatafuta alfaalfa/Lucern? Njoo PM nikupe namba ya mwamba yuko LITA Mpwapwa utapata. Nafikri kwa kilo haipungui 50k.Wazo lako c mbaya sna Ila bado nakusanya taarifa za kutosha kuusu malisho ya sungura mbegu Bora za nyama Mambo mengi alafu watu wa sua ushirikiano mdogo maana nilikuwa na tafuta mbegu ya majani flani hiv yanaitwa alafalaf mbaka leo sua awajanipa majibu ndiyo changamoto inaanzia hapo ilanikipata hii mbegu nitakuwa nimefanikiwa kwenye ufugaji wa sungura
He he heeee, 30 yrs unajihesabu mtoto? Kazi ipo! Nyie ndio mmesemwa na Makinda!!Mbona mie nina 30yrs na bado nipo kwa mama nasaidia kufuga kuku, na mie nikiwa mkubwa nitafuga kuku,
Unafuga kuku wa Aina gani na unaishi hapa darMbona mie nina 30yrs na bado nipo kwa mama nasaidia kufuga kuku, na mie nikiwa mkubwa nitafuga kuku,
Tahadhari! Mbwa anakula gharama huyo kulikoNaunga mkono hoja
Kwa DSM hii biashara inalipa sana na mbwa anaenda mpaka 1.8M
Mbna unaongea kirahisi Sana wee kweli Ni mfugaji unaazani mbuz Ni kuku ..Kama ww ni "muamini"
Fungua bucha ya nyama ya mbuzi
Uza mbuzi,kisha unaweka akiba ya pesa.
Ukifikisha faida ya 1m,ingia ndani ndani kidogo ya lilipo bucha atmost 20km.
Nunua eneo hata ekari mbili hata moja.
Anza kuzalisha mbuzi,wakikomaa wapeleke buchani kwako,ziada uza kwa wahitaji wengine.
Nenda na hiyo cycle,ukipata pesa nyingi
Uje unitumie kwenye namba yangu sadaka ya shukurani.
Hii ni idea nzuri, ila umeshawahi kuona sehemu wanauza nyama choma sungura na biashara imesimama. Mtoa mada anataka kujua ufugaji wenye uhalisia zaidi.Mkuu Kama umesema umewahi kufuga sungura it means unajua changamoto zake
Sasa Cha kufanya funga tena sungura ila Safari hii kuwa wa tofauti kidogo
Fanya hivi; wakati wa mavuno ya mifugo badala ya kutafuta wateja wa kulangua wewe tafuta kijiwe dizaini vizuri kabisa Kisha nunua jiko la gesi weird bango NYAMA TAMU YA SUNGURA INAPATIKANA HAPA..Kisha and kukaanga nyama yako Kama wanavyofanya wakaangaji wa mbuzi,nakuhakikishia utatoboa haya maisha
Hà bar Wana jf Kama kichwa Cha hà bar kinavyo jieleza hapo juu mim nikijanq mwenye umri wa miaka 27 Ila bado sijatoboa maisha haya Yani umri uwo lakin bado naishi kwa wazazi ya kila kitu namtegemea mzazi wangu.
Hali hii inaniumiza Sana Ila katika harakati za hapa na pale nilipata kibarua mkoani nikafanya kile kibarua kwa muda wa miez 3 nikaweza kuweka pesa Hadi ikafika milion3 sasa nimerudi hom dar njee kidogo na jij maene ya kitunda sas nimefikilia nin nifanye na hii pesa ili niweze kuondokana na umasikini maana umasikini ni mbaya uwezi umri wangu Kuna muda nakosa hata bando la kuingia JF nakosa hapa Mia mpaka Sina chochote uwezi amani hata demu Sina yote kwasababu ya upweke na ukosefu wa kipato Cha kukimu.
Hali yangu pia niweze kusema mim ni mdau mzuri tu wa ufugaji na kilimo Ila kilimo napenda ilachangamoto maana Sina hata shamba na Sina mtu nafamianae ambaye anashamba pia mim binafsi napenda Sana ufugaji wa Aina yoyote maana mimi nimfugaji mzuri tu wa sungura Toka mwaka 2013 wengi wananifaham sna kutia sungura sas ndg zangu mpaka nimekuja Yani nimepagawa cjui nin Cha kuwekeza kiasi changu icho niweze kupata faida ya kukidhi mahitaji yangu na kumsaidia mzazi wangu ambaye ni mama yangu ananitegemea Sana.
Maana nishakutana na afisa mifugo wa kata yangu ajanipa maelezo ya kutosha nin nifanye Yani anaongea kisiasa Sana kuliko utendaji kwayi wadau wa ufugaji natanguliza shukran zangu kwenu japokuwa mwandiko mbaya na umenielewa maana waswahili tunaelewana kwa kiswahili.
Basi fungua ki grocery fuga wadada watano wenye msambwanda..... Utakuja nishukuru.Nashukuru kwa mchango wako Imani yangu haisapati kitu icho
Ng'ombe 100 mbona Kuna watu wengi Wana 1_2 nafresh au ng'ombe duuhKwa huo mtaji kufanya biashara ya kufuga ni uongo, maana ufugaji ni gharama sana kama huna uwekezaji wa kutosha ni uongo, nashauri nenda kwenye kilimo cha mboga mboga ambacho ndani ya siku tisini (90)unakua tayari umevuna na faida unaiona kuliko kuwekeza kwenye ufugaji ambao utaendelea kutumia hela hata baada ya miezi sita na mazao yake utakua bado hujayaona. Ufugaji ni mzuri ukiwa na Capital yenye Nguvu. Kama ni ng'ombe basi una mtaji wa ng'ombe 100 nk...tafuta mtaji kwenye mazao baadae ikikupendeza unaanzisha ufugaji.
Haya ndo Mambo ya ovyo kwenye oja za msingiFuga majini nasikia pemba yanapatikana bei chee kabisa.
Shida ni Hilo jina uliloliweka la Mandingo broHà bar Wana jf Kama kichwa Cha hà bar kinavyo jieleza hapo juu mim nikijanq mwenye umri wa miaka 27 Ila bado sijatoboa maisha haya Yani umri uwo lakin bado naishi kwa wazazi ya kila kitu namtegemea mzazi wangu.
Hali hii inaniumiza Sana Ila katika harakati za hapa na pale nilipata kibarua mkoani nikafanya kile kibarua kwa muda wa miez 3 nikaweza kuweka pesa Hadi ikafika milion3 sasa nimerudi hom dar njee kidogo na jij maene ya kitunda sas nimefikilia nin nifanye na hii pesa ili niweze kuondokana na umasikini maana umasikini ni mbaya uwezi umri wangu Kuna muda nakosa hata bando la kuingia JF nakosa hapa Mia mpaka Sina chochote uwezi amani hata demu Sina yote kwasababu ya upweke na ukosefu wa kipato Cha kukimu.
Hali yangu pia niweze kusema mim ni mdau mzuri tu wa ufugaji na kilimo Ila kilimo napenda ilachangamoto maana Sina hata shamba na Sina mtu nafamianae ambaye anashamba pia mim binafsi napenda Sana ufugaji wa Aina yoyote maana mimi nimfugaji mzuri tu wa sungura Toka mwaka 2013 wengi wananifaham sna kutia sungura sas ndg zangu mpaka nimekuja Yani nimepagawa cjui nin Cha kuwekeza kiasi changu icho niweze kupata faida ya kukidhi mahitaji yangu na kumsaidia mzazi wangu ambaye ni mama yangu ananitegemea Sana.
Maana nishakutana na afisa mifugo wa kata yangu ajanipa maelezo ya kutosha nin nifanye Yani anaongea kisiasa Sana kuliko utendaji kwayi wadau wa ufugaji natanguliza shukran zangu kwenu japokuwa mwandiko mbaya na umenielewa maana waswahili tunaelewana kwa kiswahili.
Ila mdau mbona Kama bado hujatulia kimawazo,hivi ni kweli Kama unavyojieleza ukatusua kupitia kitu alichokifanya mwenzako?HÃ bar Wana JF,
Kama kichwa Cha hà bar kinavyo jieleza hapo juu mim nikijanq mwenye umri wa miaka 27 Ila bado sijatoboa maisha haya Yani umri uwo lakin bado naishi kwa wazazi ya kila kitu namtegemea mzazi wangu.
Hali hii inaniumiza Sana Ila katika harakati za hapa na pale nilipata kibarua mkoani nikafanya kile kibarua kwa muda wa miez 3 nikaweza kuweka pesa Hadi ikafika milion3 sasa nimerudi hom dar njee kidogo na jij maene ya kitunda sas nimefikilia nin nifanye na hii pesa ili niweze kuondokana na umasikini maana umasikini ni mbaya uwezi umri wangu Kuna muda nakosa hata bando la kuingia JF nakosa hapa Mia mpaka Sina chochote uwezi amani hata demu Sina yote kwasababu ya upweke na ukosefu wa kipato cha kukimu.
Hali yangu pia niweze kusema mim ni mdau mzuri tu wa ufugaji na kilimo Ila kilimo napenda ilachangamoto maana Sina hata shamba na Sina mtu nafamianae ambaye anashamba pia mim binafsi napenda Sana ufugaji wa Aina yoyote maana mimi nimfugaji mzuri tu wa sungura Toka mwaka 2013 wengi wananifaham sna kutia sungura sas ndg zangu mpaka nimekuja Yani nimepagawa cjui nin Cha kuwekeza kiasi changu icho niweze kupata faida ya kukidhi mahitaji yangu na kumsaidia mzazi wangu ambaye ni mama yangu ananitegemea Sana.
Maana nishakutana na afisa mifugo wa kata yangu ajanipa maelezo ya kutosha nin nifanye Yani anaongea kisiasa Sana kuliko utendaji kwayi wadau wa ufugaji natanguliza shukran zangu kwenu japokuwa mwandiko mbaya na umenielewa maana waswahili tunaelewana kwa Kiswahili.
Asate sanaIla mdau mbona Kama bado hujatulia kimawazo,hivi ni kweli Kama unavyojieleza ukatusua kupitia kitu alichokifanya mwenzako?
Fanya hivi wakati unatafakari biashara ya 2, jaribu kuongeza ubunifu zaidi kwenye hiyo ulonayo kwa sasa,kwani kuna mengi naamini unaweza kuyapata kwenye ufugaji wa sungura mfano mbolea_ hii ni moja Kati ya the best nitrogen mbolea,mkojo wa sungura the best kiwatilifu,watoto wa sungura wanapendwa na watoto wengi kuweza kufuga,mwisho ni sungura mkubwa mwenyewe,nyama na ngozi yake nadhani au naamini hakuna biashara nzuri zaidi ya biashara kuifahamu nje ndani
Note,
Taarifa nyingi za ufugaji zinapatikana mtandaoni,Ila wenzetu ndiyo wenye kudadavua in details labda changamoto utaikuta upande wa lugha
Jitahidi kuwa mhangaikaji wa kutafuta maarifa na taarifa,yapo mtandaoni.
Fuga mdudu.HÃ bar Wana JF,
Kama kichwa Cha hà bar kinavyo jieleza hapo juu mim nikijanq mwenye umri wa miaka 27 Ila bado sijatoboa maisha haya Yani umri uwo lakin bado naishi kwa wazazi ya kila kitu namtegemea mzazi wangu.
Hali hii inaniumiza Sana Ila katika harakati za hapa na pale nilipata kibarua mkoani nikafanya kile kibarua kwa muda wa miez 3 nikaweza kuweka pesa Hadi ikafika milion3 sasa nimerudi hom dar njee kidogo na jij maene ya kitunda sas nimefikilia nin nifanye na hii pesa ili niweze kuondokana na umasikini maana umasikini ni mbaya uwezi umri wangu Kuna muda nakosa hata bando la kuingia JF nakosa hapa Mia mpaka Sina chochote uwezi amani hata demu Sina yote kwasababu ya upweke na ukosefu wa kipato cha kukimu.
Hali yangu pia niweze kusema mim ni mdau mzuri tu wa ufugaji na kilimo Ila kilimo napenda ilachangamoto maana Sina hata shamba na Sina mtu nafamianae ambaye anashamba pia mim binafsi napenda Sana ufugaji wa Aina yoyote maana mimi nimfugaji mzuri tu wa sungura Toka mwaka 2013 wengi wananifaham sna kutia sungura sas ndg zangu mpaka nimekuja Yani nimepagawa cjui nin Cha kuwekeza kiasi changu icho niweze kupata faida ya kukidhi mahitaji yangu na kumsaidia mzazi wangu ambaye ni mama yangu ananitegemea Sana.
Maana nishakutana na afisa mifugo wa kata yangu ajanipa maelezo ya kutosha nin nifanye Yani anaongea kisiasa Sana kuliko utendaji kwayi wadau wa ufugaji natanguliza shukran zangu kwenu japokuwa mwandiko mbaya na umenielewa maana waswahili tunaelewana kwa Kiswahili.
Majani jamii ya mikunde unachanganya na mengine kama elephant plant etc. Kule kituo cha utafiti Kikombo -Mpwapwa ni wataalam zaidi Wana idara kamili ya utafiti wa malishoAaah, unatafuta alfaalfa/Lucern? Njoo PM nikupe namba ya mwamba yuko LITA Mpwapwa utapata. Nafikri kwa kilo haipungui 50k.
He he heeee, 30 yrs unajihesabu mtoto? Kazi ipo! Nyie ndio mmesemwa na Makinda!!