Nina milioni 3; nifuge kitu gani niweze kupambana na umasikini?

Hapa hakuna operational costs mkuu?
 
Mdogo wangu wazo la ivunya ndiyo wazo bora Zaid kupita yote kwakuongezea dsm maziwa lita n tsh 2000

Mwanzon utapata tabu lakn baadae uyaenjoy Sana

Ng😱mbe 1 hutoa had lita 10 kwa siku so utakuwa na uhakika.wa kuingiza 20k per day na 600k kwa mwezi na 7,200,000 kwa mwaka Bila kutoa operational cost

Usiweke mfanyakaz pambana mwenyewe

Ng'ombe 1 anaweza fika 1.3m mwenye mimba na unabak na 1.7m Kama gharama za uendeshaj


Kwa USHAURI Zaid nichek pm

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Utakapochagua wazo angalia na risk unayoenda kuichukua, fuga mfugo ambao utaendana na mtaji wako usije chagua mfugo ambao ikitokea bahati mbaya mnyama mmoja amekufa au ameumwa bhas na wewe ndo umeyumba hivyo, au ambao unahitaji chakula kingi sana au space kubwa sana au matunzo yenye gharama kubwa sana za uendeshaji itakukost, kuwa mjanjamjanja usije jilaumu badae na ufanye utafiti wa kutosha ujiridhishe
 
Mkuu unajua ng'ombe ili atoe lita 10 anakula chakula cha sh ngapi?
 
Kwa sababu umeuliza nini cha kufuga, nikushauri fuga kuku chotara, kama una kieneo fulani ambacho unaweza kujenga mabanda au kama unaweza kupata vyumba hata kwa kupanga...
1. Tafuta wafugaji wasiopungua watatu, upate maoni yao
2. Pitia maandiko mbali mbali yanayohusu ufugaji wa kuku, upate mawili matatu.
3. Nenda kwa wanaouza vifaranga na kuku ili upate abc pia.
4. Andaa mazingira, mahitaji ya msingi... anza kufuga... unaweza kuanza na kuagiza vifaranga 200 kila mwezi... bajeti ya kuwanunua na kuwatunza mpaka kuwauza kwa dar naamin haitazidi 1mil mpk 1.2mil... kusipokuwa na vifo vingi utauza 9000 mpk 10000 wakiwa na miez 2(week 8 mpk 10)
 
Beti hela yote ukuze mtaji kwanza mpe Singida big star ana point ya 5.29 kama atashinda utakua na 15,870,000 kama atashindwa nenda tena ukafanye kibarua kile kilicho kupa hiyo 3m usichoke kutafuta uanaume ni mgumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…