RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Utapigwa na kitu kizito kichwani.Siotagi najuaga hili dili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapigwa na kitu kizito kichwani.Siotagi najuaga hili dili
We kwani mke wake?Amekwambia anatembea kwa miguu ajakwambia analala nje [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nakubaliana na wewe.Hao hawakufikia uwezo wa kumiliki usafiri.
Mbali ya moto kwenye kodi, pia nimeona kama unaagiza Japan, freight cost imepanda sana hasa baada ya corona. Mfano, nilipoagiza yangu 2014, freight cost ilikuwa $800. Sasa freight cost zinasoma $1700+.Hakuna economical car ya Toyota kwa kuagiza utaipata mpya kwa bei chini ya million 14 sasa hivi! Sidhani kama kuna ambayo ipo anzia IST, RunX, Spacio, Rumion, Fielder, Premio, Allion.
Yani TRA kote humo wametembeza moto kwenye kodi
Zingatia iwe ya yard [emoji3] otherwise naenda kukufuturu na sitanii!!!
Hahahahah imeisha hiyoMzee baba naona dada anaenda kuangamia kwa kukosa taarifa [emoji1].
5.5M IST hata mkononi hupati iliyo katika condition nzuri, ni matangazo ya kidalali tuu hayo.
Mkopeshe basi hiyo 5M ili zitimie 12MOngeza ununue gari mpya ist nzuri sana hizi model zake ,maana hao walionazo waongo tu juzi mtu kanunua gari akajiona mjanja sasahivi yupo gereji anaanza upya kuweka spare na engine imeanza kufa. Ml 12 gari nzuri tu mupya
Unaongelea magari used Tanzania wewe. Hayo uliyoyapost yenye bei za 6m na 5m yote ni used bongo. Hakuna IST mpya from Japan inayouzwa 12m, HAKUNAYes,ila hizo ni new model Ile ist ya zamani ni cheap 5.5 unapata dar
Kwa akili yako unajua hizo ni mpya?Siotagi najuaga hili dili
Aisee wacha kumpangia mwanaume mwenzio matumizi ya pesa zakoHiyo hela yako ipe thamani mkuu just start thinking on what and where you can invest it rather than wasting your money for just show off...Wekeza pesa kwenye kilimo cha mdaa mfupi kisha uagize gari yako kali matata sana...kuliko hizi za mitaani utapasuka kichwa nakwambia hutaamini...
Hizo gari za 5m zinauzwa wapiGari ambayo nitakushauri ni utafute gari ndogo kwa hiyo bajeti ungeongeza ungepata IST ila sasa uchumi umebana so tafuta hata vits,au Suzuki swift ili zikusaidie kupiga misele kwa amani huku ukijipanga kununua gari kubwa zaidi baadae.
Kwa hiyo bajeti ya laki saba. Huto tugari tunauzwa chini ya milioni 5 so utakuwa na salio la kama milioni 2 na zaidi ambayo utaweka benki kwajiri ya kukusaidia kwenye gharama za mafuta na service ya gari.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Umekula?11Ml-12Ml unapata IST mpya kabisa hapa hapa Tz, huko Japan bei ni chini ya hapo 😁
Motivational speaker mmeshaanza tayari.Hiyo hela yako ipe thamani mkuu just start thinking on what and where you can invest it rather than wasting your money for just show off...Wekeza pesa kwenye kilimo cha mdaa mfupi kisha uagize gari yako kali matata sana...kuliko hizi za mitaani utapasuka kichwa nakwambia hutaamini...
Magari yapo mengi tu Tena yamesimama na bei ipo chini ishu iliyoyapandisha bei ni madali walijaa kila kona na hizi show room uchwara ambazo zinanunua magar kwa watu kwa bei ya chini kabisa mf IST wananunua 7M kwa mtu wakishaliweka kwenye show room zao mf (***) Motors IST hiyo utaikuta kwa 12M.,