Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
TRA wahuni sana wanaona nyie mtafaidi sana.Badala wangepunguza kodi magari yawe mengi wapate volume kubwa ya ushuru, pia wapate kodi kubwa kwenye vipuri na mafuta wenyewe wanakamua tu
Kwa mkononi sawa, ila nna mashaka kama itakua haina vipengele.
Kwa wafanyabiashara naona hata wakiwekewa flat rate ya kodi watalipa kodi nyingi sana kuliko kuwaminya na wanavyopambana kuikwepa.
Hata magari bongo wangeweka kodi flat rate na waka encourage watu kununua gari mpya na gari zikifika 10 years after manufacturing date ziondolewe mjini ziende mikoani ingesaidia kupunguza jam mjini.